Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ivii mtu akisomea PGM anakuja kuwa nan tofaut na ualim na urubani?? Ahsante!! Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa wale tuliobahatika kusoma hebu weka Definition moja unayoikumbuka iwe ya Form 1, 2, 3 or 4. Mim naanza na Microscope - is an instrument used to magnifying small objects.
8 Reactions
149 Replies
11K Views
Ndugu zangu habari za mida. Ni matumaini yangu kwamba wote ni wazima hasa ukizingatia janga hili lililoikuta dunia. Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari, Poleni wakuu na hili janga. Hivi hizi shule zetu na vyuo watafungua kweli baada hizi siku 30 kuisha. Na wasipofungua itakuaje mbona system za shule zinabadilika sana. Sent using Jamii...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Salaam kwenu wanajukwaa ,amani ya mungu wangu iwe nanyi Leo napenda kuiliza juu ya uwepo wa kozi fupi za IT hapa nchini mwetu Je zipo!? Gharama yake ? Na ubora wake ni upii? Je naweza kusoma...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Wakuu habarini za muda, naomba msaada kwa mtu ambae anamjua mwalimu au mtaalamu ambae anafundisha physics kwa program ya kutumia CD ikawa na uwezo wa kuangalia kwenye tv basi naomba anijulishe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamvi Habari, Naomba msaada kwa wenye uelewa wa elimu ya masters wanipe msaada wa mawazo kidogo. Kitaaluma mimi ni mwalimu. Soon baada ya kuhitimu shahada yangu (program BED) mwaka huu...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Mdogo wangu kamaliza kidato cha nne ufaulu wake ni Division III 25 CIVICS - 'C' HISTORY - 'C' GEOGRAPHY - 'C' KISWAHILI- 'C' ENGLISH - 'D' BIOLOGY - 'D' B/MATH - 'F' Ni kozi ipi nzuri...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Salaam kwenu. Tunafahamu umuhimu wa kusoma vitabu. Ni namna moja wapo ya kupata maarifa ya kiuchumi, taaluma, siasa, mapenzi ,kijamii nk. Kwa utafiti mdogo niliofanya katika mazingira niliyopo...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
poleni na majukumu na harakati za kupambana na maisha. Nombeni notes za Chemistry advanced (five na six) soft copy. Au mwenye link au App ambapo naweza pata notes nzuri anijuze. Natanguliza...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
uniRank World Universities Rankings & Reviews Top 200 Universities in Africa 2020 African University Ranking New Rank University Country 1 University of Pretoria South...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
NACTE wanafungua lini dirisha la intake ya October 2020. Kawaida March huwa i wakati dirisha la kuomba vyuo linafunguliwa. Leo ni April hamna hata dalili. Tuhabarishane mwenye fununu. Sent using...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Swali linasema, Find the nth term in the series 3,6,12,24 Nimehangaika nalo sana sijapata jibu.
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa mfumo wa Elimu Tanzania Tuna darasa (STD) 1 hadi la7 kwa while za msingi Halafu tuna 9 - Form one 10- Form Two 11- Form Three 12 Form Four sasa swali ni je hill darasa la nane ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Niko Dar. Nahitaji kufanya kozi fupi katika maeneo tajwa hapo juu. Naomba recommendation ya sehemu nzuri ya kuzipata. Data analysis kwa Stata. Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau napenda kuelimishwa maana ya G.P.A katika elimu ya juu inamaana gani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Habari wananzuoni wa Taifa letu teule, Naomba msaada wa kupata baadhi ya mitihani ya taifa kwa miaka iliyopita kwa shule za msingi kwa maana ya kuliandaa taifa letu na wasomi wa baadae Nikipata...
0 Reactions
9 Replies
53K Views
Wakuu habari za jioni. Naomba yeyote mwenye notes za somo la kiswahili kuanzia form 1 mpaka form 4. Ziwe zimeandikwa vizuri na uchambuzi wa fasihi uwe umechambuliwa vizuri. Nitapiga photocopy kwa...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Naomba mwenye notes nzuri za practical biology A LEVEL anisaidie, au tuongee biashara nazihitaji sana. NB: Ziwe na practical zote za A-level kama vile dissection, food test, classification nk...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hallo naomba kuuliza! Mtu akisoma post graduate diploma of law! Akimaliza anakua qualified kwenda school of law? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom