Tupia Definition moja ya Secondary unayoikumbuka

Kwa wale tulio bahatika kusoma Ebu weka Definition moja unayo ikumbuka iwe ya Form 1,2,3 or 4.

Mim naanza na

Microscope - is an instrument used to magnifying small objects..
Hahahahaaaa mkuu umeikosea haiwezi kuwa "to magnifying" ni "to magnify "
 
Kwa wale tulio bahatika kusoma Ebu weka Definition moja unayo ikumbuka iwe ya Form 1,2,3 or 4.

Mim naanza na

Microscope - is an instrument used to magnifying small objects..

Hahahahah eti used to magnifying small objects
 
Back
Top Bottom