Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,646
Wakuu habari za jioni.
Naomba yeyote mwenye notes za somo la kiswahili kuanzia form 1 mpaka form 4.
Ziwe zimeandikwa vizuri na uchambuzi wa fasihi uwe umechambuliwa vizuri.
Nitapiga photocopy kwa gharama zangu na nitakulipa pesa nzuri kwa kunipatia notes hizo.
Asante sana.
Ni PM kisha tutapanga namna ya kuipatia nipige photocopy.