Kozi fupi za GIS, Data analysis na modelling

Kozi fupi za GIS, Data analysis na modelling

Omusolopogasi

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
7,101
Reaction score
18,085
Wakuu,

Niko Dar. Nahitaji kufanya kozi fupi katika maeneo tajwa hapo juu. Naomba recommendation ya sehemu nzuri ya kuzipata. Data analysis kwa Stata.

Asanteni.
 
Kama unahitajika kujifunza tu, download lectures za Han van der kwast you tube, Ni nzuri na anatoa useful links kwaajili ya kujifunza zaidi. Ila ndio hivyo itakuwa umepata ujuzi bila cheti, shukran...
 
Back
Top Bottom