Samahani naomba kuuliza!!

Ivii mtu akisomea PGM anakuja kuwa nan tofaut na ualim na urubani??

Ahsante!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu mleta uzi kwa bongo ni kazi yoyote utafanya tu.Nina mdogo wangu mtoto wa mama mdogo alisoma PCM akafaulu vizuri akasoma IT.Amekaa kitaa miaka mitatu nikamwambia njoo huku nikutaftie shamba.Leo hii mambo sio mabaya kwenye kilimo cha mazao ya mahindi na ufuta.Kila siku ananishukuru kwa kweli.Sasa wasikilize wadau wanachokwambia ndoo jibu sahihi.Hiyo ilkuwa enzi ya Nyerere,Mwinyi na kidogo Mkapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua watu wamekaririshwa vibaya sana kwamba PGM ni urubani tuu ila ukweli hata EGM anao uwezo wakusoma urubani sema tatizo tanzania hela ndo shida..

Haya turudi kwenye mada,PGM na PCM wanaingilina zaidi ya asilimia 90 kwa mambo ya kusomea hasa Engineering kama vile Electrical,civil,indusrial,textile,,geology,mining,mechanical na nyingine nyingi isipo kuwa petrolium and gases. Pia waeza soma Actuarial,architecture,Geomatics,Quantity surveying...

Ki ukwel ni meng sana kwani yapo hadi mengine ya hospital kama wanao deal na mionzi ile ya X ray pia ni watu wanaokuwa wamesoma PCM au PGM....
kama umwanafunzi basi asikate tamaa ni comb ya kawaida,sema kupata One ya 3 ni ngumu kutokana na Geography kupatikana A yake ndo shida hasa hufikia tanzania nzima hakuna mwenye A yake hata mmoja
 
Soma maliza. Utafanya nini, hiyo inategemea mambo mengi.. Kuna PCM mmoja mi namjua ni dalali wa nyumba na viwanja
 
Back
Top Bottom