Jamani tusaidiane kuhusi udahili wa NACTE

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,371
73,966
NACTE wanafungua lini dirisha la intake ya October 2020. Kawaida March huwa i wakati dirisha la kuomba vyuo linafunguliwa. Leo ni April hamna hata dalili. Tuhabarishane mwenye fununu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom