Kwa anaemjua anaeuza CD za somo la physics

Kwa anaemjua anaeuza CD za somo la physics

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
12,312
Reaction score
18,194
Wakuu habarini za muda, naomba msaada kwa mtu ambae anamjua mwalimu au mtaalamu ambae anafundisha physics kwa program ya kutumia CD ikawa na uwezo wa kuangalia kwenye tv basi naomba anijulishe.

Ni muhimu sana wakuu, iwe levo yeyote ile itafaa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndo trending kwa sasa. Ni fursa walimu kumake money,maana shule zinafunguliwa wiki moja na nusu ijayo, swali Ni zitafunguliwa kweli?
Kama hazifunguliwi,wanafunzi wanakeep vipi na silabasi?
 
Hii ndo trending kwa sasa,Ni fursa walimu kumake money,maana shule zinafunguliwa wiki moja na nusu ijayo,swali Ni zitafunguliwa kweli?
Kama hazifunguliwi,wanafunzi wanakeep vipi na silabasi?
Muhimu sana mkuu kama kuna mtu unaemjua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom