Kwanini husomi au hupendi kusoma vitabu?

Mr Confidential

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,484
2,327
Salaam kwenu.

Tunafahamu umuhimu wa kusoma vitabu. Ni namna moja wapo ya kupata maarifa ya kiuchumi, taaluma, siasa, mapenzi ,kijamii nk.

Kwa utafiti mdogo niliofanya katika mazingira niliyopo watu wengi hawapendi kusoma vitabu.

Kwanini watu hawapendi kusoma vitabu? Kwanini hupendi kusoma vitabu?
Nini kinakukwamisha unapotaka kusoma vitabu?

Tiririka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitabu kama sio cha kitaaluma au cha fasihi-riwaya siwezi kupoteza muda kukisoma kabisa.

Unalishwa ujinga tu.

I am very hesitant to swallowing people's own opinions which are reduced to books.

To me, the book which i read must be purely academic.

Sio sijui i can i must and i will. Anybody can write that nonsense!

Wanajiita motivational sijui nini nini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitabu kama sio cha kitaaluma au cha fasihi-riwaya siwezi kupoteza muda kukisoma kabisa.

Unalishwa ujinga tu.

I am very hesitant to swallow people's own opinions which are reduced to books.

To me, the book which i read must be purely academic.

Sio sijui i can i must and i will. Anybody can write that nonsense!

Wanajiita motivational sijui nini nini!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu hufanya kitu kwa lengo fulani, akitegemea matokeo fulani hivyo anayesoma kitabu cha I can I'll and I must, jua ana nia ya kutaka kujua kitu fulani na ndivyo ilivyo hata kwa upande wa vitabu vingine either vya motivation au purely academic books.

Wewe una sababu ya msingi kusoma purely academic books, na pia huna lengo au huoni haja ya kusoma motivational books.

Hitimisho :-

Kila kitu ni kizuri na sahihi kutegemeana na mtazamo wa anayekifanya kitu hicho. Hivyo hata hoja yako ni mtazamo wako kuhusu vitabu vya uhamasishaji na wahamasishaji pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda ila nna tatizo moja kuu lisilotibika, nikianza kusoma kitabu huwa simalizi.
 
Salaam kwenu.

Tunafahamu umuhimu wa kusoma vitabu. Ni namna moja wapo ya kupata maarifa ya kiuchumi, taaluma, siasa, mapenzi ,kijamii nk.

Kwa utafiti mdogo niliofanya katika mazingira niliyopo watu wengi hawapendi kusoma vitabu.

Kwanini watu hawapendi kusoma vitabu? Kwanini hupendi kusoma vitabu?
Nini kinakukwamisha unapotaka kusoma vitabu?

Tiririka

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunaopendelea audiobooks je, tunaingia kundi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitabu kama sio cha kitaaluma au cha fasihi-riwaya siwezi kupoteza muda kukisoma kabisa.

Unalishwa ujinga tu.

I am very hesitant to swallow people's own opinions which are reduced to books.

To me, the book which i read must be purely academic.

Sio sijui i can i must and i will. Anybody can write that nonsense!

Wanajiita motivational sijui nini nini!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaah aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom