Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kilitokea mwaka 2007 jijini Darusalama. Baada ya kijana kumaliza kidato cha sita alichaguliwa kusoma Tumaini Iringa. Likizo ilipo fika alienda kumtembelea bibi yake. Bibi: HIVI UNASOMAGA WAPI...
3 Reactions
44 Replies
6K Views
Habar waungwana ivi kumbe kuna uwezekano wa mtu kusoma uhasibu bila ufaulu wa math's na akafanya vizuri kuliko waliofaulu math's, hii nimeandika baada ya mshikaji kupiga diploma ,degree then...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Salam wanajukwaa Mara nyingi kumekuwa na majibizano juu ya mwanafunzi au mhitimu wa chuo kipi ni bora na yupi si bora?. huenda mkaona chapisho hili lisiwe na maana sana, au mkadhani ni upotezaji...
5 Reactions
36 Replies
9K Views
Ndugu wana bodi heshima kwenu... Naweza kusoma Master ya HRM yaani human resources management nikiwa shahada ya kwanza nimesoma utawala na uongozi katika elimu??
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa pia hongereni na sikukuu ya Eid Mubarak pia tuendeleee kuchukua tahadhari Kwa kunawa mikono na maji tiririka na sabuni pia usisahau kuvaa barakoa uendapo kwenye highly populated...
3 Reactions
39 Replies
7K Views
Waungwana msaada tafadhali kwa wale wanaosoma au waliosomea UDSM. Kuna degree program inaitwa Project Planning and Management naipenda sana lakini napenda sana Chuo Kikuu Dar es salaam nauliza...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Hello JF, Mnaonaje masomo ya degree(vyuoni) yaanze kufundishwa basics A level? I believe mtu akisoma Advance then aksoma Diploma ama Degree ya somo hilo hilo, atakua na confidence hata...
10 Reactions
69 Replies
5K Views
Hivi kwa ufahuru wa hist C, kisw C, geo D ,civ D, engl C,bio D,math D division 3 ya 25 je huyu mtu anaweza kwenda kidato cha tano kwa combination ya HGE kwa shule za serikali kwa mwaka wa 2020...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Baada ya ugonjwa wa Covid 19 kulipuka duniani kote sector ya Elimu iliathirika pia. Shule zilifungwa. Serikali ya Tanzania imefungua Vyuo na kidato cha sita. Kama Wazazi tuna Watoto wanasome...
4 Reactions
50 Replies
8K Views
Mwaka huu namalizia diploma yangu ya civil engineering Mungu akioenda. Malengo yangu niunganishe degree ya kozii hii, ila kwa online university huku nafanya kazi za civil engineering technician...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
I am very glad to inform you that, this thread is just for all who need to help and be helped about English language related matters. Students with questions from primary to A-level are warmly...
1 Reactions
69 Replies
7K Views
Naomba wenyewe uzoefu wa hii Kada wanipe mwongozo. Nina mpango wa kuisoma, nataka kujua changamoto zake na wigo wake wa Ajira. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawasalimia wakuu! Dunia ina mambo mengi mno ya kujifunza kiasi kwamba hakuna mtu anaweza kuyajua yote, hivyo basi, tangu binadamu anazaliwa, maisha yake yote amekuwa ni mtu wa kujifunza tu, hadi...
8 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu Salaam, Katika kupata kwangu elimu ya dunia level mbalimbali za kusoma sijawai kuongoza katika somo la hisabu ata nikijitaidi vipi sijawai kuongoza kuwa kinara wa marks katika somo hili...
12 Reactions
254 Replies
20K Views
Habari ya muda huu wadau, nahitaji kutumia Nota Bene (NB) Kwenye barua, kuna neno lake ambalo ni la Kiswahili pekee?. Natanguliza shukurani zangu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
15K Views
heshima kwenu wana Jamvi. swali langu linajitosheleza.........!!! naomba majibu nina Nephew wangu anashahada ya Uhandisi wa Civil udsm class of 2012 anataka kuwa mwalimu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hebu tupia mambo unayoyakumbuka kipindi upo sengerema sec
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Niliwahi kufanya kazi kwa Mkufunzi mmoja wa UDSM, yeye hakuwa mwajiri wangu ifahamike. Yule Dr.jina mfukoni siku moja alianzisha mada sasa nikaamua kumsifia then nikampa challenge kidogo...
5 Reactions
18 Replies
5K Views
Wakuu naomba kuuliza chuo cha VETA Chang'ombe kilicho Dar es Salaam kuwa usajili unaanza lini kwenye long course ya umeme na wanachukua vigezo gani vya ufaulu kwenye course hiyo
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…