Mazinde High School, huu ni uonevu kwa Wazazi

Mazinde High School, huu ni uonevu kwa Wazazi

Lutifya

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
3,024
Reaction score
5,079
Baada ya ugonjwa wa Covid 19 kulipuka duniani kote sector ya Elimu iliathirika pia. Shule zilifungwa.

Serikali ya Tanzania imefungua Vyuo na kidato cha sita. Kama Wazazi tuna Watoto wanasome Mazinde juu. Wanatakiwa kurudi shuleni wiki hii.

Baadhi yetu Wazazi tulisha maliza kulipa ada. Ajabu tunaambiwa kwamba tunatakiwa kulipa tena 700,000 ili mtoto apokelewe shuleni na ni gharama za kukaa shuleni kwa kipindi cha mwezi akijiandaa na mtihani. Sidhani kama mzazi hii ni haki.

Serikali ni muhimu kuingilia kati uhuni huu.

Soma ya Bwiru Girls: Wanafunzi wa Shule ya Wasichana Bwiru watakiwa kwenda na Malimao na Tangawizi shuleni - JamiiForums
 
Private schools ni wezi sana....wamebanwa na wafanyakazi nao wanawabana wazazi...Sasa eti Mwezi 1 unalipa 700k!!! Mzazi unaitolea wapi kipindi hiki cha #covid19? Shenzi zao.
 
Private schools ni wezi sana....wamebanwa na wafanyakazi nao wanawabana wazazi...Sasa eti Mwezi 1 unalipa 700k!!! Mzazi unaitolea wapi kipindi hiki cha #covid19? Shenzi zao.
Yaani mwezi mmoja wa kula makande tulipe 700000 huku mwaka mzima tumelipa zaidi ya 4M. Huu ni utapeli sawia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mradi wa upigaji huo!

Watoto wakiwa wengi maana kunakuwa na sunk costs, figure haiwezi kuwa kubwa namna hio!

Huwezi niambia kwamba mtoto mmoja anakula 700k kwa mwezi! Kwamba bill ya Umeme, chakula, maji, ulinzi na stationeries (ambazo mtoto anajitegemea).

Wezi 😁😁😁😁
 
Mradi wa upigaji huo!

Watoto wakiwa wengi maana kunakuwa na sunk costs, figure haiwezi kuwa kubwa namna hio!

Huwezi niambia kwamba mtoto mmoja anakula 700k kwa mwezi! Kwamba bill ya Umeme, chakula, maji, ulinzi na stationeries (ambazo mtoto anajitegemea).

Wezi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu kimsingi haingii akilini. Elimu kwa Watoto wetu imekuwa kama adhabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kops mtoto amalizie mitihani, wakati unajiuliza kuna wenzako wamelipa na maisha yataendelea. Ukistuka wakwako hajafanya mitihani.
Look here siyo kwamba sina uwezo wa kulipa hiyo fedha Sky Eclat. I can transfer even this very minute. Muhimu kama wazazi ni lazima tuhoji pia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shule imejengwa kwa sadaka.. ila bado inaibia wazazi.. miezi miwili watoto wamekaa nyumbani na wazazi wao walikuwa wamelipia ada.. kwa nini isitumike hiyo hiyo iliyolipiwa na hawajaitumia ..

Ni kweli usemayo,sijui wamepatwa na tatizo gani,kisha muangalie shule nyingine utaratibu ni upi, sadaka zina mchango mdogo kujenga hio shule.
 
Hapo sasa ukute mzazi alikuwa ni mfanyakazi katika sekta ya utalii na yupo likizo mwezi wa pili bila malipo.
 
Baada ya ugonjwa wa Covid 19 kulipuka duniani kote sector ya Elimu iliathirika pia. Shule zilifungwa. Serikali ya Tanzania imefungua Vyuo na kidato cha sita. Kama Wazazi tuna Watoto wanasome Mazinde juu. Wanatakiwa kurudi shuleni wiki hii. Baadhi yetu Wazazi tulisha maliza kulipa ada. Ajabu tunaambiwa kwamba tunatakiwa kulipa tena 700,000 ili mtoto apokelewe shuleni na ni gharama za kukaa shuleni kwa kipindi cha mwezi akijiandaa na mtihani. Sidhani kama mzazi hii ni haki. Serikali ni muhimu kuingilia kati uhuni huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Doh na last term walikuwa na tour mbugani, Laki 4 kama sikosei. Honestly mazinde juu wako very unpredictable. Na chakusikitisha ni Kanisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom