Wakuu hivi ni kweli Clinical officerCO hawezi kujiendeleza mpaka kuwa Medical doctorMD

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,905
2,000
Mbona huelewek hawez jiendeleza kivip , kama AMO, imefutwa inamana anaweza kuenda MD.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hivi: Ukisoma Clinical medicine (CM) unakuwa Clinical officer.
Kusoma MD lazima:
1. Uwe umepata credit (A,B,C) katika chemistry and Biology na D ya physics Form 4. Short of that huendi.
2. Lazima uwe na GPA ya 3.5 kwenye kozi yako ya CM!
refer TCU guidebook 2018/2019 or so...... kila kitu kimo humo.
Jitahidi uwe unapitia website za higher learning institutions!
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,905
2,000
Uwe na ufaulu wa masomo 5, matatu kama yalivyo elezwa hapo juu.
Masiya it has proved difficult to get 3.5 GPA, nadhani Ndalichako amefanya makusudi kuwazuia wasiende MD maana alikuwa amesema kuwa kama hujapitia form six ie A-Level you will never see the inside of a University lecture room!
 
Champ_2

Member
Jan 29, 2020
80
150
Masiya it has proved difficult to get 3.5 GPA, nadhani Ndalichako amefanya makusudi kuwazuia wasiende MD maana alikuwa amesema kuwa kama hujapitia form six ie A-Level you will never see the inside of a University lecture room!
Vigezo bado vilevile, huenzi kwenda MD bila kuwa na 3.5 GPA
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,741
2,000
Masiya it has proved difficult to get 3.5 GPA, nadhani Ndalichako amefanya makusudi kuwazuia wasiende MD maana alikuwa amesema kuwa kama hujapitia form six ie A-Level you will never see the inside of a University lecture room!
Sioni sababu kwa nini isiwe 3.0 halafu nafasi zilizopo ziamue. Kupata nafasi ya MD kwa wengi imekuwa a nightmare. Mpaka kupatikane viongozi wenye msimamo na maono tofauti.
 
Willard Jonnes

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
355
1,000
Viongozi wako emotionally sana mtu amefanya kazi for five years kwenye sector yake kwanini usimruhusu tu akasome Zaidi hata kwa Minimum qualifications, vyuo vya nje vingi vina angalia pia kama mtu amekuwa ana practice field yake kwa muda gani na ina mpa added advantage hata kama atakuwa na gap kwenye academic qualifications ila working experience still matter
 
donbeny

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
3,488

Kuna AMO nilikutana nao mahali wanapiga kazi ,hawa jamaa wanauzoefu kuliko MD ,tena wanajua practical work kiasi kikubwa,kule theater kuna fresh surgeon alishindwa kurepair Auxiliary Artery aliyoidamage kwa bahati mbaya wakati wa operation, Jamaa akawa anatoa jasho na hakuna mtu alikuwa anaweza kuirepair,AMO akasema chief niruhusu nikusaidie hiyo kazi kwa kuwa nimefanya kazi na Vascular Surgeon for 7 yrs,AMO akafanikiwa kuokoa jahazi la loss of blood na kuirepair ile artery kirahisi bila kuleta other damages.Baada ya kazi yule Surgeon alimuheshimu sana AMO.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,905
2,000
Sioni sababu kwa nini isiwe 3.0 halafu nafasi zilizopo ziamue. Kupata nafasi ya MD kwa wengi imekuwa a nightmare. Mpaka kupatikane viongozi wenye msimamo na maono tofauti.
Exactly, GPA ya 3.0 as minimum makes sense! Then unaacha available slots to detrmine the fate!
 
Apr 29, 2020
36
95
Kuna AMO nilikutana nao mahali wanapiga kazi ,hawa jamaa wanauzoefu kuliko MD ,tena wanajua practical work kiasi kikubwa,kule theater kuna fresh surgeon alishindwa kurepair Auxiliary Artery aliyoidamage kwa bahati mbaya wakati wa operation, Jamaa akawa anatoa jasho na hakuna mtu alikuwa anaweza kuirepair,AMO akasema chief niruhusu nikusaidie hiyo kazi kwa kuwa nimefanya kazi na Vascular Surgeon for 7 yrs,AMO akafanikiwa kuokoa jahazi la loss of blood na kuirepair ile artery kirahisi bila kuleta other damages.Baada ya kazi yule Surgeon alimuheshimu sana AMO.
Dah kweli experience is a good teacher,.kiukweli naamini CO anaweza pata uzoefu zaid hata ya md wakat mwingine maan co anapga kaz nying sana mahospitalini.. Mi naona mtu akisoma Co na akiwa kazin for atleast 3yrs aruhusiwe tu kusoma md , kule akachujwe mwenyewe na sup akicheza , ila nnachoamini CO wanaweza sana.. Wapewe fursa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
donbeny

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
3,488
2,000
Dah kweli experience is a good teacher,.kiukweli naamini CO anaweza pata uzoefu zaid hata ya md wakat mwingine maan co anapga kaz nying sana mahospitalini.. Mi naona mtu akisoma Co na akiwa kazin for atleast 3yrs aruhusiwe tu kusoma md , kule akachujwe mwenyewe na sup akicheza , ila nnachoamini CO wanaweza sana.. Wapewe fursa

Sent using Jamii Forums mobile app
True hawa jamaa wanaona wagonjwa wengi huko wilayani na kesi kibao za ajabu na wanafanikiwa kutibu katika mazingira magumu,wanahitaji theory kidogo sana . Akisoma AMO then MD basi anakuwa hatari sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom