Kisa cha denti wa Tumaini University na bibi yake kizaa mama

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,110
27,092
Kilitokea mwaka 2007 jijini Darusalama. Baada ya kijana kumaliza kidato cha sita alichaguliwa kusoma Tumaini Iringa.

Likizo ilipo fika alienda kumtembelea bibi yake.


Bibi: HIVI UNASOMAGA WAPI MJUKUU WANGU.

Mjukuu: NASOMA TUMAINI UNIVERSITY IRINGA.


BIBI: ONGEZA BIDII MJUKUU. JITAHIDI USOME HADI UFIKE CHUO KIKUU.


Bibi alimaanisha UDSM.
 
Haya sasa baada ya kusoma hapo udsm, tubsomba enyi wasomi wakubwa wa nchi kutoka hapo mtusaidie kufanya tafiti za covid 19, mbona wenzenu China na huko Marekani na uingereza tubawasikia? kule kukomoana ndio mnaita kuwa nondo hahahaha
 
Multiculation =Matriculation

Kwahiyo mliosoma Udsm ndio nyie hamjui hata kuandika Matriculation unaandika Multiculation?

Hahaha... Hizi sifa bana...!

Kushindwa kuliandika hilo neno, ukichukulia ni kitambo since nilipofanya huo mtihani! Na uzuri wengi tuliotoka kijijini kipindi hicho, tuliusikia tu wakati wa mchakato wa kujiunga na chuo (hivyo sikuwekeza nguvu kubwa kukariri herufi zake badala kujiandaa kuufanya na kufaulu),

hakuniondolei sifa ya kwamba na mimi ni kati ya wale WABABE wachache wa miaka hiyo kutoka kijijini, waliopitia UDSM ya Makamu Mkuu wa Chuo Mathew Luhanga, akina Prof. Nkunya, Prof. Mgaya, nk.

Na ukubali tu miaka hiyo vyuo vikuu vilivyofahamika sana vilikua ni kama vinnehivi! Udsm, Mzumbe, Sua na Saut.
 
Ndio umemaliza au tusubiri?
Kilitokea mwaka 2007 jijini Darusalama. Baada ya kijana kumaliza kidato cha sita alichaguliwa kusoma Tumaini Iringa.

Likizo ilipo fika alienda kumtembelea bibi yake.


Bibi: HIVI UNASOMAGA WAPI MJUKUU WANGU.

Mjukuu: NASOMA TUMAINI UNIVERSITY IRINGA.


BIBI: ONGEZA BIDII MJUKUU. JITAHIDI USOME HADI UFIKE CHUO KIKUU.


Bibi alimaanisha Udsm.
 
Aisee! Yaani mpaka wahitimu wa TEKU wananishambulia babu yao niliyeingia UDSM mwaka 2004! Kazi kweli kweli. 🙄

Hahahahaaa sawa mkuu jukwaa la utani hili usipanic .Multiculation Ulifanyia kituo gani mwaka 2004?

Nakumbuka tulikua tunafanya kwa Kanda. Mi nilikua hata Dar sijawahi kufika nilifanyia Mazengo pale
 
Back
Top Bottom