jwhizzy JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 681 Reaction score 397 May 30, 2020 #1 Naomba wenyewe uzoefu wa hii Kada wanipe mwongozo. Nina mpango wa kuisoma, nataka kujua changamoto zake na wigo wake wa Ajira. Asanteni.
Naomba wenyewe uzoefu wa hii Kada wanipe mwongozo. Nina mpango wa kuisoma, nataka kujua changamoto zake na wigo wake wa Ajira. Asanteni.