Naomba kujua tafsiri ya neno "Nota Bene" (N:B) kwa Kiswahili

Habari ya muda huu wadau, nahitaji kutumia Nota Bene (NB) Kwenye barua, kuna neno lake ambalo ni la Kiswahili pekee?.

Natanguliza shukurani zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kabisa hayo maneno asili yake ni kilatin nota(notãre) ikiwa na maana ya to "note", na neno bene ikiwa na maana ya "well"
Kwahiyo kwa kiswahili inaweza ikawa "Zingatia vizuri"
 
Back
Top Bottom