Hii ndiyo nguvu ya kusoma

Pist_Sr

Member
Mar 6, 2020
31
60
Nawasalimia wakuu!

Dunia ina mambo mengi mno ya kujifunza kiasi kwamba hakuna mtu anaweza kuyajua yote, hivyo basi, tangu binadamu anazaliwa, maisha yake yote amekuwa ni mtu wa kujifunza tu, hadi kufa kwake.

Binadamu katika ukuaji wake huanza kujifunza kwa kuangalia na kusikia, baadae akikua ataongea na hii itamsaidia kujifunza zaidi. Lakini hatuishii hapo, ili ajifunze zaidi ataanza kujifunza kusoma na kuandika, hapa anakuwa amefikia level ya juu sana ya kujifunza. Na pia hapa ndio wazazi hufurahia zaidi, mtoto wake akijua kusoma na kuandika huko shuleni, mengine huja mbele ya safari.

Nitazungumzia zaidi kusoma kwa sababu ndio njia kubwa sana ya kujifunza mengi ya ulimwengu kuliko njia yoyote ile.

Tusome nini ili tujifunze mengi?

Hapa sizungumzii elimu ya mitaala ya darasani kusoma kwa kukariri ili ukajibu mtihani, wala udaku wa celebrities na low level news, nazungumzia ideas and theories. Hii ndio namna ya kupanua mawazo yako, challenging your mind, and entertaining your thoughts. Na huu ndio utaratibu ambao tunatakiwa kuwarithisha watoto wetu wa kiafrika ambao wazazi wao tumekuwa nyuma sana katika kuutekeleza.

Kuna vitabu kama Growth: From Microorganisms to Megacities, Prepared: What Kids Need for a Fulfilled Life, Why We Sleep: Unlocking the Power of Sleep and Dreams. Ni mfano tu wa vitabu vichache vyenye powerful life knowledge.

Kama umefuatilia watu ambao ni smart huwa wana kitu fulani in common, KUSOMA VITABU. They keep learning as if they got nothing in their lives. Lakini sasa, mambo ni kinyume kabisa, wanaojifunza zaidi ni watu wenye mafanikio na uelewa mwingi sana kuliko watu wa chini ambao maisha yametupiga za uso.

Mtu anaenda gym kwa mazoezi ya mwili, kwa ajili ya kujenga mwili mwenye afya. Hata pia akili huwa inajengwa na kuwa yenye afya. Hakuna namna unaweza kujenga akili yako bila kujifunza new idea, na ideas nyingi zinazoweza kukutoa point moja kwenda nyingine ni kusoma vitabu tu! Mambo mazuri yamefichwa kwenye vitabu wakuu! keep learning.

Waafrika wengi tunaonekana hatunaga akili mbele ya wenzetu kwa sababu sio kwamba ni kweli hatuna uwezo wa kufanya mageuzi ya kimaendeleo, la hasha, sisi tumeweka priority sana kwenye mambo ambayo hayana manufaa zaidi kwenye mazingira ya maisha yetu halisi zaidi tunayoishi. Chukua Think and Grow Rich, soma chote; Chukua The Lean Start Up, soma chote; Chukua The 4-Hour Work Week, soma chote. Usiishie tu hapo, chukua na vingine soma halafu tuone kama hajawa mjasiriamali. Tusiishie kusoma Entrepreneurship kama course kisha tujibu mtihani tumalizane nayo. Get out of the box, inspire yourself, encourage yourself. Let us not be fool for chasing out things don't even matter in our lives.

Nenda Maktaba, jiweke kwenye mazingira ambayo utakutana na smart people and socialize with them. Punguza kutazama maTV series, usiendekeze sana maSocial media, fanya kusoma vitabu vyenye powerful knowledge ndio sehemu yako kubwa sana ya kupumzika baada ya shughuli zako. Utajikuta hata wale marafiki zako ambao kimsingi hawana potential kwenye maisha yako wao wenyewe wanaanza kujiweka mbali na wewe baada ya wewe kuanza kujiweka karibu na potential people, why? they are no longer compatible you my friend, you speak different language, you speak ideas, they speak about people and events, mara huyu kafanya hivi, hivi umesikia fulani kafanya nini, and bla! bla!

Hebu tuligusie hili kama mfano!

Kwa umasikini wa knowledge na ideas mtu alionao kichwani, hawezi kuona hata fursa, na hata kama akiiona huwezi kuikimbilia haraka maana hana kitu kichwani cha ku-compete na watu ambao wana ideas na wenye uwezo mkubwa wa ku-seize any opportunity, na hata kama atajitosa kwenye hiyo fursa, ni rahisi sana kuishia njiani kwa challenge chache tu atakazo kutana nazo mwanzo.

Watu wengi huwa wanadhani pesa ya mtaji ndio kitu pekee akikipata basi ametusua kwenye biashara, lakini sio kweli kabisa, ukweli ni kwamba hicho ni kisingizio kikubwa sana watu wamekuwa wakikitumia kama changamoto ya wao kujiajiri na kuanzisha they own ventures. Mtaji wa kweli ambao watu hawana ni ideas basi..! Idea imebeba kila kitu katika kufanikiwa kibiashara including huo mtaji pesa.

Sio kweli wote waliofanikiwa sana financially walianza na mtaji mkubwa sana, ila ni kweli kabisa kuwa waliofanikiwa wengi walipata new good ideas kwanza. Kasome The Innovator's Dilemma cha Clayton M. Christensen.. you will comply with me.

Nyongeza
Ni mtazamo wangu! Wazazi tubadilike, tuache kuwa-classify watoto wetu kwa matokeo ya darasani, kwa maana as long as yupo darasani tayari ameshakutana na wenzake wenye uwezo tofauti wa akili, na kwenye matokeo ya mtihani lazima awepo wa kwanza hadi wa mwisho. Sasa wa mwisho anaweza kuwa ni mwanao, kwani wewe ulitaka mtoto wa nani awe wa mwisho ndio ufurahi?

There is no point ya kumuonesha mwanao kuwa hana akili kisa amekuwa wa mwisho, acha jamii im-classify hivyo, lakini wewe mzazi ndio uwe mstari wa mbele kumuonesha mwanao kuwa yeye ana akili na anaweza ku-prove! Mjengee mzoea ya kusomasoma hard books, avipende na avizoee vitabu. Trust me, he/she going to achieve something good during and after school. Na watu watakuja kugundua kuwa hakuna asiye na akili, ni kwamba tu watu wanakosa maarifa.
 
Tumeongea lugha moja

Well said but above All Kwa waafrika pesa kwanza upate pesa ndio falsafa hio..
 
Back
Top Bottom