dranx
Senior Member
- Dec 31, 2018
- 189
- 84
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Naomba msaada Kwa anaejua faida za kusoma Kwa mfumo wa Cambridge.
Na shule za A level zinazofundisha Kwa mfumo wa Cambridge.
Na matokeo yake naweza kuyaonaje maana nikiingia website ya necta siyaoni.
nawasilisha mada naombeni msaada wenu.🙏🙏🙏