Msaada: Mwenye kitabu cha Alfu lela U lela

mr vata

JF-Expert Member
Jan 30, 2017
418
500
Je! Naweza kupata kitabu cha Alfu lela U lela mwenye nacho anaweza akanitumia kwa njia ya PDF file na kusoma kwa njia hiyo!

Ambaye hajanielewa ntamwelewesha Asanteni
Sijui mkuu uko wapi...
Ila hivi vitabu vipo vingi sana kwa wauza vitabu mjini hasa kariakoo. Angalia wale wqnaouza kando kando ya barabara huwa wanakua na vitabu vingi vya zamani.
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
37,183
2,000
Soft copy ya kiswahili ipo kweli?,
Afu nauliza, alifu Lela ulela ndo muhusika mkuu Ni sindbad na yule mfalme Haroun Al Rashid wa Baghdad?
 
Siku za ajabu

JF-Expert Member
Dec 23, 2012
1,203
2,000
Je! Naweza kupata kitabu cha Alfu lela U lela mwenye nacho anaweza akanitumia kwa njia ya PDF file na kusoma kwa njia hiyo!

Ambaye hajanielewa ntamwelewesha Asanteni
Hiki kitabu kuna hadithi moja ya dada wawili wenye kijicho tam sana nikosoma miaka zaid ya 25 iliyopita
 
Mkogoti

JF-Expert Member
May 3, 2020
1,747
2,000
Sijui mkuu uko wapi... Ila hivi vitabu vipo vingi sana kwa wauza vitabu mjini hasa kariakoo. Angalia wale wqnaouza kando kando ya barabara huwa wanakua na vitabu vingi vya zamani.
nipo musoma mjini mkuu
 
Prince Kunta

JF-Expert Member
Mar 27, 2014
18,097
2,000
Je! Naweza kupata kitabu cha Alfu lela U lela mwenye nacho anaweza akanitumia kwa njia ya PDF file na kusoma kwa njia hiyo!

Ambaye hajanielewa ntamwelewesha Asanteni
Ubungo stand kuna mzee anaauza hard copy bei rahisi tu
Sidhan kama katika format ya pdf utapata
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,653
2,000
Hiki kitabu kuna hadithi moja ya dada wawili wenye kijicho tam sana nikosoma miaka zaid ya 25 iliyopita
Vipo kibao duka la vitabu nadhani linaitwa TPH bookshop Kama sikosei lipo pale karibu na mnara wa askari maeneo ya posta mpya darves salaam
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,653
2,000
Mkuu hivo cna ninacho cha weep not children cha ngugi lakn ntakutaftia
Hivyo vitabu ndivyo vilijaza ujinga watanzania .someni vitabu Kama vya how to get rich ,how to make machines,how to prepare chips kuku nk hayo mangonjera ya hayo matabu yanapumbaza ubongo na kuulaza yakiwemo hayo matabu ya alfu Lela ulela
 
Sauti ya Mamlaka

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
1,332
2,000
Hivyo vitabu ndivyo vilijaza ujinga watanzania .someni vitabu Kama vya how to get rich ,how to make machines,how to prepare chips kuku nk hayo mangonjera ya hayo matabu yanapumbaza ubongo na kuulaza yakiwemo hayo matabu ya alfu Lela ulela
Sawa mkuu tunavisoma na hvo pia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom