Naomba msaada, kasi yangu ya uelewa darasani imepungua

Naomba msaada, kasi yangu ya uelewa darasani imepungua

selina mrembo

Member
Joined
May 18, 2020
Posts
54
Reaction score
68
Naitwa selina ni mwanachuo nasomea uhasibu AAR ngazi ya Diploma,

Jamani tangu misukosuko inipate nimejikuta kasi yangu ya kusoma imepungua sana hadi lecture akauliza darasani nina matatizo gani certificate nilipata misukosuko ya kimaisha lakini perfomance yangu ilikuwa nzuri sana sikuwahi kusapu.

Cheti changu kina A na B tu lakini sasa nipo Diploma nina mawazo mengi sana na kuhisi masomo kama magumu siyawezi tena. Kusoma nachukua muda mrefu kuelewa tofauti na mwanzo.

Nifanye nini nirudishe ile akili ya kusoma? Naona kama miaka ilobaki ni mingi yani hata sijielewi nakata kata tamaa tu.
 
Nafikiri, ungeanza kwa kueleza japo kwa kifupi ni Matatizo yepi uliyoyapata mpaka kwanamna moja au nyingine yakakusababishia mfadhaiko ulionao sasa hivi
 
Mkuu pole sana,inaonekana una mawazo na mipango mingi sana kichwani mwako ambayo haitimiliki hali ambayo inapelelea ubongo wako kuchoka kutokana na kuwaza sana hivyo kujikuta unapoteza ari ya kusoma kwa bidii.

Ushauri wangu ni huu jaribu kupunguza mawazo lakini mawazo hayawezi kupungua hivi hivi tu,hivyo jaribu kuzingatia vyakula vya asili ambavyo kwa namna Fulani hupunguza msongo wa mawazo.

Kwangu Mimi vitu ambavyo ni tiba ya msongo wa mawazo na ambavyo huvitumia sana ni unga wa majani ya mlonge,natumia sana mananasi na mwisho matunda aina ya makarakara(passion fruits) hakika ukitumia vitu kwa namna moja utakuwa umepunguza tatizo lako,lakini pia nanasi ni zuri sana kwa afya ya ubongo kwani husaidia kutunza kumbukumbu.

Mwisho zingatia kufanya mazoezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Selina. Mwanzoni nakuuliza uko na stress gani katika maisha? Kuweza kusoma na kujifunza lazima kuwa na amani akilini. Kwa hiyo, kutafuta kitu gani inaleta stress katika maisha yako ni hatua ya kwanza. Wakati ya kusoma ni muhimu sana, kwa hiyo huwezi kufikiri kuhusu usalaama ya watu wengini, lazima uwe na priority mwenyewe. Nakutakia maendeleo mazuri.
 
Ubongo ni kitu sensitive sana, haiwezi hifadhi files kama kuna unsolved files, ni kama ujenzi wa nyumba ni tofali moja juu ya lingine ukiacha uwazi upange tofali juu yake huwa ni shida, kwanza anzia ulipo kosea tengeneza njia upya, ubongo ukarudi kwenye mhimili wake, TUNAKUTEGEMEA kama familia, Mtaa na Taifa usitu aibishe kama jirani yako Merimela.
 
acha kutumia simu, usifanye mapenzi, uoge kwa siku mara tano, usiangalie porn videos na pia ukibanwa na ushuzi jamba kwa sauti kubwa sana. hakika matunda utayaona
 
Umechanganya mapenzi na masomo !! Chagua moja .
 
Naitwa selina ni mwanachuo nasomea uhasibu AAR ngazi ya Diploma,

Jamani tangu misukosuko inipate nimejikuta kasi yangu ya kusoma imepungua sana hadi lecture akauliza darasani nina matatizo gani certificate nilipata misukosuko ya kimaisha lakini perfomance yangu ilikuwa nzuri sana sikuwahi kusapu.

Cheti changu kina A na B tu lakini sasa nipo Diploma nina mawazo mengi sana na kuhisi masomo kama magumu siyawezi tena. Kusoma nachukua muda mrefu kuelewa tofauti na mwanzo.

Nifanye nini nirudishe ile akili ya kusoma? Naona kama miaka ilobaki ni mingi yani hata sijielewi nakata kata tamaa tu.
Punguza madada...
 
acha kutumia simu, usifanye mapenzi, uoge kwa siku mara tano, usiangalie porn videos na pia ukibanwa na ushuzi jamba kwa sauti kubwa sana. hakika matunda utayaona
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Misukosuko gani ulipitia maana mada yako inaonyesha kama uliwahi kuleta mada ya mapito unayopitia
 
"The higher you go, the colder you become."
-- Mwalimu Mtoro, 1989. One of the best Maths teacher in the world.
 
Back
Top Bottom