Msaada wa Taarifa juu ya Chuo cha Makerere

losiraa

Member
Nov 17, 2018
51
27
Natumai mu wazima na mnaendelea vema kwa msaada Wa Mungu.

Nimekuwa na shauku ya kujiunga kwa Level ya Master's katika chuo hiki. Mwenye uelewa juu ya taratibu kwa mtu aliyenje ya Uganda kujiunga naomba anisaidie

Uzoefu na changamoto anisaidie
 
Mkuu nipo hapo napiga PhD nipo nimemaliza mwaka wa kwanza ,,taratibu ingia tu kwenye web ya chuo unafanya application na kuattach docs tu kama kawaida...karibu sana Mak mkuu...kwa lolote niulize tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kwanza hongere ila nina maswali kadhaa
1. Kama mimi ni Mtanzania nalipa ada kama foreigner au nalipa kama mganda considering EAC countries kwenye suala la elimu wenzetu wakenya na waganda waliopo huku udsm, udom nk wanalipa kama locals na si international student? Naomba ufafanuzi

2. Na vipi kama wewe unaona waganda wakoje when it comes to Tanzanians na interaction na pia elimu yao najua haina shaka kabisa lakini wewe binafsi unaichukuliaje

3. Mko watanzania wangapi na gharama za maisha labda kwa mwaka ni ngapi na estimations

4. Mwisho naomba unipm contacts zako kama hutojali nina mengi ya kuuliza Mkuu.
 
Unalipa kama mwanafunz wa EA mkuu, so sawa tu na ada ambayo Waganda wanalipa. Kwa mak resources walizo nazo yaan human na learning resources ni za kutosha, na wabongo wanatupenda sana na kutuheshimu sana. Watanzania wapo ila sio wengi kama wakenya. Ada zao zao hazina tofauti sana na hapa kwetu mkuu katika levels zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwanza hongere ila nina maswali kadhaa
1. Kama mimi ni Mtanzania nalipa ada kama foreigner au nalipa kama mganda considering EAC countries kwenye suala la elimu wenzetu wakenya na waganda waliopo huku udsm, udom nk wanalipa kama locals na si international student? Naomba ufafanuzi

2. Na vipi kama wewe unaona waganda wakoje when it comes to Tanzanians na interaction na pia elimu yao najua haina shaka kabisa lakini wewe binafsi unaichukuliaje

3. Mko watanzania wangapi na gharama za maisha labda kwa mwaka ni ngapi na estimations

4. Mwisho naomba unipm contacts zako kama hutojali nina mengi ya kuuliza Mkuu.
Hostel kwa mwaka zinarange kuanzia 1.5m kwa mwaka kitu kama laki 8 ya bongo, hizi ni private,ila ukipata hostels za ndani ya chuo ni cheaper sana na zipo nyingi though competitive mana dents nao ni wengi sana! Gharama za msosi hamna tofauti yyte na home,,unakula kulingana na uwezo wako ila mpaka buku 3 ya Uganda unakula, ila hawajui kupika.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunashukuru sana ndugu umetupatia Mwangaza mzuri
Vip vile walimu wanawatreat wanafunzi Wa mataifa mengine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukiwa Uganda kama upo home tu..hamna tofauti yyte..chakula tu mim ndio shida yangu, kibayaaaa lakin mambo mengne hamna shida! Huwa naenda na kurudi kwa bus, kama unaweza ni nzr hata kwenda kupata experience nyingn mkuu, hautajuta ukiwa mak

Nafarajika kusikia hivyo.vip utaratibu Wa vibali vya kuishi kule kama mwanafunzi umekaaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mim nimemaliza mwaka bila kibali, hamna usumbufu hata kama huna kibali...kibali kinakusaidia tu kuepusha usumbufu muda mwingn mpakani...ila mim sina na nimemaliza mwaka..so we omba tu chuo mkuu, hiyo wala haina shida

Sent using Jamii Forums mobile app
Vip mfumo Wao kwa master's ni miaka miwili au inakuwa ni miezi 18?
 
Back
Top Bottom