Naomba msaada wa kupata notes za primary Tanzania English medium schools

Naomba msaada wa kupata notes za primary Tanzania English medium schools

jathurwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
214
Reaction score
262
Jamani natumai mu wazima.

Niende moja kwa moja anayejua app nzuri ya kupata notes za primary tz English medium schools anisaidie.

NB: thl nimetumia ila imenishinda kitu kidogo so anaeweza nisaidia afanye hivo coz nina dogo hapa kila dei anazunguka tu afu big bro naweza msaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
notes zipo za kutosha primary hadi o level
nitafute 0653987291
 
Back
Top Bottom