Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari zenu wakuu. Hizi ndizo kauli walizo ambiwa wanafunzi wa udaktari na machief kipindi cha mitihani ya vitendo(practical). Kama ifuatavyo 1: Hiyo diagnosis inabidi tuiandikie kitabu chake...
4 Reactions
6 Replies
664 Views
Naandika hivi kwa sababu hii nchi ina mshangazo mkubwa sana! Watu waliokuwa likizo bila malipo, na wengine walioomba kurudi kwenye kazi zao, au ajira mpya, kiukweli kuingia kwenye payroll...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Iko wazi, kwa kila mtumiaji wa map zinazopatikana ktk simu zetu amewah kupima speed pale anapokuw safarini. Sasa swali langu ni. Ikiwa uko baharini(boti/meri) au angani(ndege/parachuti) hii...
5 Reactions
17 Replies
697 Views
Msaada wa vyuo au chuo kinacho toa shahada ya ufuatiliaji na utekelezaji wa miradi Tanzania
0 Reactions
6 Replies
481 Views
Anonymous
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Iringa (Tumaini) kuna jambo moja linaendelea hapa chuoni halituridhishi kama wanafunzi. Chuo kimeanzisha mfumo wa kutoza watu penalt sababu ya kuchelewa...
1 Reactions
2 Replies
374 Views
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tiba kishiriki cha Tumaini (KCMC) wamekuwa katika kipindi kigumu cha masomo yao, hasa wakati huu wanapokaribia kufanya mitihani kutokana na kushindwa kumaliza kiasi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau habari ya jioni! samahani kuna dogo aliomba, mkopo mwaka jana alikosa. Sasa anataka kuomba mkopo tena. Lakini ameshalipia elfu 30 lakini akijaribu kulog in mfumo haufunguki. Shida ni nini wadau?
0 Reactions
8 Replies
656 Views
Wakuu poleni na majukum, Nimeombwa ushauri hapa nikaona nililete kwenu maana humu kila kila aina ya wabobezi. Huyu kina anataka asome kozi za afya na matokeo yake ni haya : PHYSICS. " F"...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ingawa wengi kwa knowledge ya kibinaadamu "ILI KULETA USAWA FLANI HIVI BILA UBAGUZI WOWOTE" watakwambia kozi zote ni sawa inategemea na kichwa chako lakini ukweli juu ya hili utabaki pale pale...
0 Reactions
157 Replies
52K Views
Naombeni kujua tofauti kati ya bachelor of sciences with education na bachelor of education in science na ni maeneo gani tofauti wahitimu wa kozi hiyo wanaweza kuajiliwa na ni ipi bora kwa ajira...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanafunzi wengi wanaoingia vyuoni hujiuliza: "Kozi ipi itanipa ajira au fursa nzuri baadaye?" Katika mazingira ya sasa ya Tanzania na dunia kwa ujumla, hizi hapa ni kozi tano zinazotabiriwa kuwa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakulu. Bila shaka wengi wetu tunatamani watoto.wetu wasome shule sahihi, salama na hatimaye ahitimu katika ubora. Ni kawaida kuona kuwa mwanenu amehitimu shule zake na akaamua kuingia...
2 Reactions
74 Replies
4K Views
Anonymous
Nikiwa mdau wa elimu, nasikitishwa na ucheleweshaji wa mfumo wa usajili wa private candidates ambao haujafunguliwa tangu mwezi wa saba hadi leo tarehe 8 Agosti. Pia, reference number bado...
1 Reactions
1 Replies
207 Views
Mimi ni mwalimu Miaka kadhaa kazini Nina mpango wa kwenda kufundisha vyuo vya kati kama assistant Lecturer. GPA yangu ya undergraduate ni 3.5 (Bachelor of arts with education Linguistics and...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Oya wazeee habari, ivi wataalamu wa interview za TBS embu tupeanile possible angles hasa kwenye kazi za CIVIL ENGINEERS
0 Reactions
1 Replies
365 Views
Anonymous
Rita wamekuwa wazembe kuhsughulikia changamoto za wateja wao, niliripoti terehe 19/06/2025 kwenye maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma Dodoma kuwa nilifanya maombi ya kuverify cheti cha kuzaliwa...
0 Reactions
1 Replies
428 Views
Habari za humu wakuu? naomba kujuzwa jamani kama hii shule ipo active na ikiwezekana nipate mawasiliano namba za simu au baruaapepe yao. Asanteni 🙏🙏🙏🙏
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Msaada anayefahamu shule za bei nafuu za secondary Tanzania ambazo ni za bweni na ni za private lakin pia ni mchanganyiko na ambazo ada yake ni kati ya 1m-2m Msaada tafadhali
1 Reactions
35 Replies
22K Views
Naomba kujuzwa kuhusu kozi ya biomedical engineering,,, Soko lake la ajira lipoje
1 Reactions
0 Replies
242 Views
Hesabu za Simultaneous equation zinaweza kusoviwa kwa njia nne ambazo ni 1) Substitution method 2)Elimination method 3)Graphical method 4)Matrix method. Hivyo thread zijazo tutatazama...
2 Reactions
11 Replies
625 Views
Back
Top Bottom