Master of Education in Curriculum Design and Development au Master of Education in Administration Planning and Policy Studies?

Jocasta

JF-Expert Member
Aug 28, 2014
474
589
Mimi ni mwalimu Miaka kadhaa kazini
Nina mpango wa kwenda kufundisha vyuo vya kati kama assistant Lecturer.

GPA yangu ya undergraduate ni 3.5 (Bachelor of arts with education Linguistics and literature)

Naomba kuuliza ndugu zangu, kati ya Master's degree nilizoweka Hapo juu ni ipi itanifanya ndoto zangu kutumia?

Chuo tarajiwa ni Open university of Tanzania.

Msaada tafadhali
 
Lengo lako la kuongeza Elimu ni Nini?

1.kama ni kipato na mshahara usisome fanya biashara
2. Kama ni uzoefu n madaraka soma ila tafuta connection

Japo sijajib swali lako kutokana Kila mtu ana mtazamo wake inategemea wewe mbeleni unataka kuwa nani au kufanya nini
 
Mimi ni mwalimu Miaka kadhaa kazini
Nina mpango wa kwenda kufundisha vyuo vya kati kama assistant Lecturer.

GPA yangu ya undergraduate ni 3.5 (Bachelor of arts with education Linguistics and literature)

Naomba kuuliza ndugu zangu, kati ya Master's degree nilizoweka Hapo juu ni ipi itanifanya ndoto zangu kutumia?

Chuo tarajiwa ni Open university of Tanzania.

Msaada tafadhali

MKUU,
NISIKILIZE MIMI!!!

Nenda UDSM, kasome ama
Master of Arts in Linguistics
au
Master of Education in Language Education.

Hii itakupa room kubwa ya kuja kuwa Assistant Lecturer wa kozi ya "Communication Skills" kwa vyuo vya kati vitoavyo Shahada,
Ni kozi ambayo ipo katika vyuo vyote nchini.

Hizo ulizozitaja wewe utakuwa na uwanja finyu sana wa kudufua job,
Kwani kozi zake zitakuhitaji ukafundishe vyuo vikuu, ambako utakosa kigezo cha GPA (ya 3.8 kwa undergraduate).
Wakati vyuo vya kati utavyoangazia kufundisha hizo ni I.A.E pekee.
 
Hivi kama GPA ya undergraduate ni ndogo mgano ya 2.5, 2.6, 2.7 na nyingine lakini mtu akaamua aende kusoma Post graduate Diploma na akapata GPA ya juu anaruhusiwa kutumia cheti ha Post graduate au ni lazima atatumia kile kile cha Under graduate?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Masters unasoma kama undergraduate una G.P.A 2.0 >
 
MKUU,
NISIKILIZE MIMI!!!

Nenda UDSM, kasome ama
Master of Arts in Linguistics
au
Master of Education in Language Education.

Hii itakupa room kubwa ya kuja kuwa Assistant Lecturer wa kozi ya "Communication Skills" kwa vyuo vya kati vitoavyo Shahada,
Ni kozi ambayo ipo katika vyuo vyote nchini.

Hizo ulizozitaja wewe utakuwa na uwanja finyu sana wa kudufua job,
Kwani kozi zake zitakuhitaji ukafundishe vyuo vikuu, ambako utakosa kigezo cha GPA (ya 3.8 kwa undergraduate).
Wakati vyuo vya kati utavyoangazia kufundisha hizo ni I.A.E pekee.
Umempa ushauri mzuri kulingana na anachotamani kuwa,kwanza anaweka ubobezi kwenye somo analofundisha na atauzika popote,afuate ushauri wako
 
Back
Top Bottom