Habari zenu wakuu,
Nilikuwa naomba msaada kwa anayeelewa Degree ya Metrology and Standardization sehemu atazoweza kufany kazi pamoja na basic salary yake.
Wakuu mimi nimesoma bachelor of science with education, nina gpa ya 4.4 na kwa sasa niko mtaani nina duka la cosmetics.
Sasa wazazi wamenipa shavu kuwa niende masters nikajiendeleze wakati...
Mwaka juzi, kama mwezi wa kumi, nilikuja hapa JamiiForums kuomba ushauri kuhusu kusoma Masters mara tu baada ya kumaliza Degree yangu ya kwanza.
Asilimia kubwa ya wadau waliniponda.
Baadhi...
Naomba kuuliza mamlaka husika je hawaioni hii changamoto katika shule hii.
tatizo la maji mtaa wa kanindo limekua ni tatizo kubwa ni muda sasa japo kua mradi wa maji uko mtaa jirani wa Sawa. na...
Habari wanajamvi,
Kwa masikitiko makubwa nawaomba mnisaidie kunielekeza ni shule gani hapa Dar es salaam inauwezo mkubwa kuwasaidia watoto wenye Uelewa mdogo yaani slow learners??
Kijana wangu...
Unapokuwa unaandika research proposal au dissertation ya masters au undergraduate, process ya kutafuta related studies zinazoendana na objectives au title yako huwa ni kazi ambayo sio rahisi hata...
Leo tuangalie kazi za kitaaluma za Maprofesa wetu kimataifa eg. Google scholar.
1. Anthony Mshandete, 2439 citations
https://scholar.google.com/scholar?hl=en&as_sdt=0%2C5&q=mshandete&btnG=
2...
Habari
Kwa wale wanaohitaji kwenda kusoma USA na Canada kuanzia Masters na Kuendelea
Unaweza kutimiza ndoto zako kwa kupata mkopo kupitia Taasisi za kimataifa zinazotoa mikopo
No collateral...
Mfano Shule ya Wavulana iliyopo Mitaa ya Kawe (jina kapuni), mwajiriwa mwenye Shahada analipwa mpaka 530k baada ya makato inabaki 360k ingali ada kwa Kila Mwanafunzi kwa mwaka ni Sh 12m, hii haina...
Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o...
Website ya Utumishi ilikuwa msaada kwa watumishi kuona nafasi za mafunzo yenye ufadhili nje ya nchi. Lakini mwaka huu hakuna mafunzo yanayoonekana kwenye sehemu ya mafunzo, post ya mwisho ni ya...
Nakumbuka mwaka 2009 wakati ndo nimemalza 4m 6, mzumbe university walikua wanaringa kuchukua wanafunzi 2naotegemea Heslb na badala yake wakawa wanachukua wa2 wenye dv 3 wengi kwa kigezo cha kwamba...
Walimu Mbeya DC kutoka CWT kuhamia vyama vingine vya Wafanyakazi ni changamoto.
Tumejaza fomu za kujitoa wamegoma kabisa, ukienda kufuatilia wanasema huu Mwaka wa uchaguzi hawawezi kututoa, muda...
Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hawajalipwa fedha za kujikimu tangu Februari 2025, Viongozi wakiulizwa hawatoi majibu ya kueleweka ni kusema tu mtalipwa.
Kwa...
Wakuu nilikuwa naomba kujua kiundani juu ya kozi hii ya electrical and biomedical engineering.
Je, unaposoma cozi hiyo utajishughulisha na ufundi wa vifaa vya tiba au na umeme kwa ujumla.
Ahsanteni
Kuna sababu gani yakutumia wiki nzima au wiki mbili kabisa kufanya verification ya cheti cha kuzaliwa?
Kwamba muombaji asubiri hadi hizo wili mbili au moja ndio aendelee kufanya application kweli...
Nijuavyo mimi Kiswahili ni mchanganyiko wa lugha nyingi mfano kisukuma, kichaga, kihaya (kibantu) kiingereza, kijerumani, kiarabu n.k huu mchanganyiko ukaunda lugha moja ambayo ni kiswahili.
Huu...
Hellw jf,kuna shida bado tunapata.Bado tunapata changamoto ya kupata AVN number na matokeo yametumwa,ukifika nacte kuongea nao wanakujib vibaya wakitumia lugha mbaya.Ni sawa ni taasis ya serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.