Msaada wa shule za bei nafuu za bweni za mchanganyiko

Msaada wa shule za bei nafuu za bweni za mchanganyiko

Mbagala Tz

Member
Joined
Mar 16, 2017
Posts
57
Reaction score
42
Msaada anayefahamu shule za bei nafuu za secondary Tanzania ambazo ni za bweni na ni za private lakin pia ni mchanganyiko na ambazo ada yake ni kati ya 1m-2m

Msaada tafadhali
 
Msaada anayefahamu shule za bei nafuu za secondary Tanzania ambazo ni za bweni na ni za private lakin pia ni mchanganyiko na ambazo ada yake ni kati ya 1m-2m

Msaada tafadhali
Njoo Mbozi mkoa wa Songwe kuna shule inaitwa NDYUDA.
 
marangu hills sec ni nzuri hautajuta ni 1,5 usipende vya rahic rahic ni ghal
 
Nenda Alpha Gemz mkoani Morogoro karibu na stendi kuu gharama zake ni nzuri haifiki hata million 1 na wako vizuri sana advanced level & o-level
 
Nenda ALPHA GEMZ MKOANI MOROGORO KARIBU NA STENDI KUU GHARAMA ZAKE NI NZURI HAIFIKI HATA MILLION 1 NA WAKO VIZURI SANA ADVANCED LEVEL & O-LEVEL
Mdogo angu anasoma pale kwa baba pekupeku.ada ni ndogo ufaulu ni mzuriii sana..
 
Mporoto secondary ada 1.3 M shule nzuri tu kitaaluma n mazingira ya kujisomea ipo mbeya (rungwe)
 
Back
Top Bottom