Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nina classmates waliowahi kusoma nje ya nchi elimu ya msingi kwa shule za Uganda na Kenya. Walirudi Tanzania kuendelea na elimu ya sekondari hadi vyuo kusomea IT, HR, Accounting, Law, Engineering...
1 Reactions
11 Replies
596 Views
We really have serious problem at our universities nowdays. Patterns of students available at universities nowdays lack intellectual skills. I think the way they behave reflects the characters of...
2 Reactions
39 Replies
9K Views
The Obvious truth is that a particular method for assuming academic success and making a first class degree in school cannot be applicable to everybody. However, there are specific principles...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni vyuo vikuu gani hapa kwetu vinavyostahili hadhi hiyo. yaani visivyo na ubabaishaji ktk elimu.
1 Reactions
49 Replies
10K Views
Wakuu kwema? Mimi nina rafiki yangu ni mwalimu wa masomo ya Chemistry na Biology. Anawezaje kupata scholarship ya kusoma masters? Mwenye uzoefu, anawezaje kupambana kupata full funded scholarship...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari za muda huu wanajamvi, Naomba msaada kwa anayejua wapi mwenge wa uhuru unapohifadhiwa baada ya mbio za mwenge. Mwanangu wa shule ya msingi alinipiga hili swali jana nikawa napepesa macho...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Anonymous
Pia soma - Zaidi ya wiki sasa Mfumo wa Bodi ya Mikopo ya HESLB inasumbua Bodi ya mikopo mfumo wenu wakuomba mkopo unasumbua sana hasa katika kipengele Cha kuvalidate NIDA number, Kuna muda...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Jina langu kwenye vyeti vyangu vyote ,pamoja na nida linafanana,yan mfano john kulwa sembo, na taarifa za jina la baba kwenye nida yake pamoja na cheti changu cha kuzaliwa ni Frank kulwa sembo...
1 Reactions
3 Replies
328 Views
Qn1. Rescue plane flies at 198 km/h (" 55.0 m/s) with a constant height h " 500 m toward a point directly over a victim, where a rescue capsule is to land. (a) What should be the angle f of the...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Mimi, kama mwalimu wa shule za sekondari, ninapenda kutoa maoni yangu kuhusu mtaala mpya wa elimu kuanzia shule ya msingi hadi sekondari. Baada ya kupitia kwa makini, nimebaki na hofu kubwa kwamba...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Habari wana JF Huu mkondo wa amali unatofauti gani na zile shule za ufundi? mm nimeona shule za ufundi mapegunzuziwa masomo kama history na geography hivi wajikite zaidi kweny vitendo. Sasa...
1 Reactions
2 Replies
352 Views
Wakuu natanguliza shukrani kwenu. Naombeni mnipe tofauti ya hizi KOZI mbili ambazo ni 1.Barchelor of arts in community development 2.Barchelor of community development Hizi KOZI mbili...
2 Reactions
4 Replies
499 Views
Anonymous
Baada ya kutamatika kwa muhula wa pili wa masomo kwa chuo kiukuu cha SAUT utaratibu huwa ni mtihan ya Special na supplementary za semester ya kwanza kufanyika. Kwa ratiba ya chuo kuku cha SAUT...
1 Reactions
5 Replies
566 Views
Mimi nimehitimu mafunzo ya ufundi umeme level 3 nilikuwa naukiza kama naweza kujiunga na mafunzo ya electrical engineering ngazi ya diploma
1 Reactions
12 Replies
915 Views
Last week nilikua napitia matokeo ya madogo wa form six kwa Special Schools (Mzumbe, Tabora Boys, Kibaha na Ilboru) lengo ni kuhesabu One za Tatu yaani ni za kutafuta kwa tochi... Nimeambulia...
115 Reactions
292 Replies
72K Views
NI VYETI GANI VINAKUBALIKA (BIRTH/DEATH CERTIFICATES) KATIKA KUOMBA MKOPO HESLB 2025? Conditions Nne kwa Cheti cha Kuzaliwa;- - Sehemu ya Entry Numbers iwe na Tarakimu tupu bila alama yoyote...
0 Reactions
0 Replies
493 Views
CBE nawalalamikia binti yangu kamaliza 2024 Diploma lakini akienda Nactevet anaoneshwa kwamba wahusika wa CBE examinations officers hawajampandoshia matokeo yake yote bila taarifa wala sababu.za...
2 Reactions
3 Replies
450 Views
Nimeenda kwenye stationary kwaajili ya kuomba mkopo bodi ya MIKOPO HESLB sasa tumeanza hatuaa wakanambia kuwa wamemaliza ... Sasa nimeingia kwenye akaunti yangu nimekuta pako kama Hivyo kwenye...
1 Reactions
6 Replies
685 Views
Habari Wanazengo Kama unapojisajili uliweka umezaliwa oversea badala ya mainland Tanzania inakuwaje hapo? Maana hata verification number ya rita hawakuleta tunafanyaje ili kuedit
0 Reactions
3 Replies
318 Views
Back
Top Bottom