A
Anonymous
Guest
Nikiwa mdau wa elimu, nasikitishwa na ucheleweshaji wa mfumo wa usajili wa private candidates ambao haujafunguliwa tangu mwezi wa saba hadi leo tarehe 8 Agosti.
Pia, reference number bado hazijatolewa. Tunahofia kuingia kwenye penalty bila kosa letu.
NECTA inapaswa kutoa tamko rasmi na kuchukua hatua haraka kabla hali haijawa mbaya kwa watahiniwa wa kujitegemea.