Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

shakamooni wakubwa zangu, poleni na majukumu, Mimi mdogo wenu kutokana na wenge la matokeo ya mtihani wa taifa f6 2020 nilipata kuomba moja ya chuo cha diploma hapa nchini, kwa bahati nzuri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama form four ulisomea shule ya serikali na ukafaulu vizuri ukaingia chuo, ukamaliza kusoma diploma kwa miaka mitatu na ukataka uendelee na degree. Unaweza kupata mkopo kutoka serikalini huko...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Habari. Uzi huu ni special kwa ajili ya kuwapa ushauri, ukumbusho, usia wadogo zenu wanaoenda vyuoni kumaliza semister kwa miezi 3na sio 4 tena. Kwa jinsi gani wajiweke vyuoni, mienendo yao ya...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
HABARI - Kwahapa Dar nichuo gani kipo juu kwakozi ya BUSINESS ADMINISTRATION - Je, uhitaji wake serikal kwenye nafasi zakazi - Soko lake laajira lipo vipi . Kuna muhitimu anataka kujiunga...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Shida ya haraka, kwenye sehemu wanapotaka tu upload transcript ya diploma, tuna upload NINI? Na hatuna transcript??
0 Reactions
6 Replies
978 Views
-Bachelor of Commerce in Accounting -Bachelor of Accounting and Finance in Public Sector -Bachelor of Accounting and Finance in Business Sector -Bachelor of Acounting and Finance Na pia chuo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za wakati wanajamvi wenzangu, eee bhana nimetoka kuchukua form ya Kumfanyia maombi mdogo wangu aliyemaliza Form six juzi kati. Matokeo yake hayakuwa mazuri sana hivyo nikaona nimpeleke...
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Habarini za majukumu ya leo wana jamii forums. Naomba kuwashirikisha moja ya changamoto iliyotokea kwa watu kadhaa katika zoezi la uombaji wa kazi ya ualimu kupitia tovuti iliyotolewa na...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari wadau?! Hivi katika hali ya kawaida, mimi nikitazama mfumo wetu wa elimu tokea vidudu hadi chuo kikuu ni uwekezaji mkubwa sana wa pesa ambao hauna guarantee ya uhakika na ile hali wazazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF Nina umri wa miaka 30 nimeishia drs la Saba ila napata fursa nyingi sana lakini kutokana na elimu yangu ni ndogo Kuna baadhi ya fursa zinanipita naombeni msaada nawezaje...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu Bwana mdogo kapata div 1 ya 9 pccb ana C flat anaweza chaguliwa chuo cha serikali Course y medical officer??
0 Reactions
80 Replies
16K Views
Habari wakuu natumaini wazima Niende moja kwa moja kwenye mada kiufupi mtoto wa kaka yangu yaani mtoto wangu Mimi kama mnavyojua matokeo yametoka Jana ila sio mazuri amepata div3. Pts16 ya PCB...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari za leo wakuu, Natumai mu wazima wa afya tele. Lakini pia poleni na mihangaiko ya kulisaka tonge. Sasa ni hivi, leo wakati naperuzi makabrasha yangu kichwani nimejikuta napata wazo hili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenye past paper za Physics, Chemistry na Biology za form six 2020 anitupie inbox
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kwa uwezo wa aliye juu ni imani yangu kuwa wote tuko salama. Wakuu nimekuwa member kwa miaka kadhaa sasa japo sikuwa nimejisajili lkn nimekuwa nikisoma mada mbalimbali za wadau na ukweli ni...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Naomba kufahamu vigezo vinavyoangaliwa kama unataka kusomea IT na vyuo husika Tanzania vinavyotoa hii course Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wadau, mm nilikuwa nafanya field, wizara moja hivi nimemaliza nataka kuandika report hebu tusaidiane juu ya hili.
0 Reactions
7 Replies
18K Views
Nauliza result slip za 2020 zinatoka lini na ili uipate kwa sasa nifanyeje. Naulizia za kidato Cha sita 2020.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu ninaomba mtu anayefahamu Shule ya Sekondari ya Bweni inayofundisha michezo pia iwe nzuri kwenye taaluma. Kijana wangu anamaliza Darasa la Saba na anapenda sana michezo na anacheza Mpira wa...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…