Habarini za majukumu ya leo wana jamii forums.
Naomba kuwashirikisha moja ya changamoto iliyotokea kwa watu kadhaa katika zoezi la uombaji wa kazi ya ualimu kupitia tovuti iliyotolewa na TAMISEMI. Baada ya muda mrefu wa mtandao kuwa bize hatimae mfumo umefunguka vizuri.
Baadhi ya watu wamefanikiwa kutuma maombi lakini kuna baadhi kila wanafungua upya au ku log in kwenye akaunti zao kuna meseji inyosomeka unauthorized user inatokea.
Sijajua tatizo ni nini, labda kwa yeyote aliyekumbana na tatizo hili u anaweza kutoa msaada kwa namna moja au nyingine anaweza saidia ili kutatua tatizo hili.
watu wachche waliandikiwa hivyo baada ya kutaka kutengeneza akaunti wakati tayari walishatengeneza akaunti hizo. hivyo walipotaka kutengeneza katika hatua ya mwisho waliletewa ujumbe huo. na walipotaka ku log in (baada ya kukumbuka kuwa walisha kuwa na akaunti muda mrefu ulopita) waliandikiwa hivyo pia.
Ahsanteni.