Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mimi ni mwananfunzi wa mwaka wa 2, nasoma Kozi ya Bachelor's in B'ness Administration(BBA). Ningependa kushare nanyi katika hili. Naomba kufahamu briefly au shortly, naweza kusoma Master's ya...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Poleni na majukumu. Mpwa wangu amepata matokeo haya. Naomba ushauri wenu Civics- D, Hist-F, Geo-F, Kisw-D, Engl-F, Phy-F, Chem-F, Bio-D, B/Math-F. Ushauri wenu unahitajika sana
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa TCU, miongoni mwa vigezo vya kusoma ngazi ya degree ni watu wa foundation programme kutoka OUT maajabu yaliopo baaadhi ya vyuo kama DIT, ARU hawachukui kabisa watu wa foundation sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari, kama nilivozungumzia kwenye kichwa cha habari. Nina shida na mawasiliano ya TAMISEMI kwa anayeelewa niingieje kwenye website yao au email yao, vilevile sina email yao wala website...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimepata nafasi ya kufanya field halmashauri ya manispaa ya ilala Kama una ushauri au chochote cha kuniambia maybe cha kuzingatia. Thanks in advance
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imefungua dirisha la maombi ya udahili wa Shahada ya Kwanza, mwaka wa masomo 2020/21. Mtendaji wa TCU, Prof. Charles Kihampa amesema dirisha la kwanza la...
3 Reactions
22 Replies
6K Views
Hellow habari za mida hii wanajamvi natumai mungu anajalia uzima kwanza kwa majina naitwa Derrick Deo nimekuja mbele yenu na baadhi ya maswali ambayo nahitaji usadizi wenu kwa njia yeyote samahani...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wana jamvi!, Eeh kuna mdogo wangu yupo Chuo mwaka wa Kwanza diploma-Clinical Officer (VYUO VILIVYOPO CHINI YA NACTE)! Sasa nataka kumuhamishia chuo kingine ila tatizo sina...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasalaam ndugu wanajukwaa Mimi ni mhitimu wa chuo ngazi ya shahada, kozi ya ya Teknolojia ya Habari na Mifumo( Information Technology and System) inayotolewa Mzumbe Chuo kikuu, nina Gpa ya daraja...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Salaaam Naomba kuuliza hivi ukisoma kozi ya rural au community development unaweza kuajiriwa kama nan labda BT kama nikikosa ajira najua cha kufanya so naomba tu huo msaada. Ova
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MAENEO NANE MUHIMU YA MTAALA NGAZI YA DARASA. Ulishawahi kuwaza kufanya kazi ya kutunga sera na kufanya maamuzi?. Ipi unadhani ingefaa kuwa sera bora ya elimu katika nchi yako? na vitu gani...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu salaam zenu, Ndugu nakijana wangu anasomaa Degree ya Human Resource, sasa wako kwenye kuandika research kaniomba nimsaidie kumtaftia mada ya kureseach. Naomba tu-brainstom kidogo ilinipate...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
habari za uzima wana jamvi. September 3 2020 waziri wa Tamisemi Seleman Jafo alitangaza nafasi za walimu msingi na sekondari. Alidai dirisha litafunguliwa tar7 yani leo. Sasa shida iko hivi,huu...
1 Reactions
110 Replies
17K Views
Jamani ee kwa mwanafunzi wa chuo kikuu aliyewahi kupiga field POSTA (sio bank) au TTCL wanatoa mkwanja??
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wana jf naombeni msaada kwa mwenye kujua specifications za transceiver zinazotumiwa na mitandao ya simu kwenye minara,ya voda , airtel and ttcl please help
0 Reactions
1 Replies
895 Views
Habari za jioni wana jf, Naomba kufahamu ofisi za Nacte kwa mkoa wa Dodoma zipo wapi? Mimi ni mgeni mkoa huu nahitaji kufika ktk ofisi zao siku ya kesho Jumanne.
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Kule kwenye application kuna masomo mawili haya English na English language, ukichagua English zinakuja Primary Schools na English language zinakuja Secondary School, swali kwa wazoefu, tunaomba...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Tuna uhitaji na Mwl wa Physics/Maths. Shule ni ya wasichana(O-level) ipo mtwara manispaa. Kwa mawasiliano zaidi tafadhali piga: 0745737287/whatsapp
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello wanajamvi, Nafamahu kuwa Tanzania is gifted na wabobezi katika masuala ya MIS. Natafuta school system yenye sifa zifuatazo: Iwe na uwezo wa kumanage student records na kupring ID cards Iwe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumekuwa na mlolongo juu ya minimum point zinazokuwezesha kuchukua degree. Mwaka Jana kuna rafiki yangu wa o level alipata E E C, mda wa kuomba vyuo nikamwuliza umechagua vyuo gani akaniambia hana...
1 Reactions
129 Replies
18K Views
Back
Top Bottom