Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,469
- 17,580
Habari wakuu natumaini wazima
Niende moja kwa moja kwenye mada kiufupi mtoto wa kaka yangu yaani mtoto wangu Mimi kama mnavyojua matokeo yametoka Jana ila sio mazuri amepata div3. Pts16 ya PCB yani EES nilikuwa nahitaji msaada wenu kimawazo
Je, ni chuo gani kizuri cha diploma anafaa aende maana hapo uwezo wa kusoma degree hana
Na ningependa vile vyuo ambavyo unalipa malazi na chakula sio vile ambavyo unajitegemea chakula na malazi yaani mfano kupanga
Ni hayo tu wakuu
Asanteni