Result Slip za kidato cha VI 2020 zinatoka lini?

mcoloo

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
918
Reaction score
1,402
Nauliza result slip za 2020 zinatoka lini na ili uipate kwa sasa nifanyeje.

Naulizia za kidato Cha sita 2020.
 
Zimetoka tarehe 7/9/2020 na necta walizisambaza kwa maafisa elimu ili wakuu wa shule mbali mbali wazichukue, ivo kwa muda wote huo nadhani zimeshafika mashuleni , cha kufanya Wasiliana na academic wa shule uliyosoma ujue kama alienda kuzichukua upate uhakika uwahi mapema maana ratiba ikibana itakuwa shida , kila la kheri mkuu
Tangazo lao hili
Screenshot_20200922-014403.jpg
 
Zimetoka tarehe 7/9/2020 na necta walizisambaza kwa maafisa elimu ili wakuu wa shule mbali mbali wazichukue, ivo kwa muda wote huo nadhani zimeshafika mashuleni , cha kufanya Wasiliana na academic wa shule uliyosoma ujue kama alienda kuzichukua upate uhakika uwahi mapema maana ratiba ikibana itakuwa shida , kila la kheri mkuu
Tangazo lao hiliView attachment 1576726
Mkuu nashukuru Sana.
 
Ratiba ikibana kivipi bro
 
Back
Top Bottom