Ipi ni kozi nzuri kati ya hizi na utofauti wake uko wapi?

vampire123

JF-Expert Member
Apr 17, 2016
1,285
820
-Bachelor of Commerce in Accounting
-Bachelor of Accounting and Finance in Public Sector
-Bachelor of Accounting and Finance in Business Sector
-Bachelor of Acounting and Finance

Na pia chuo kizuri kwa izo kozi

- UDSM
- UoI
- Mzumbe
- TIA

Na je kozi gani ni nzuri katika soko la ajira?
 
Izo coz ukisoma make sure una pata gpa kubwa pia usome board CPA umalize hapo sasa ukimaliza utakuwa na 100% ya kupata kazi tena iyo ya Udsm ndo nzuri zaidi kuliko izo nyingine mana kazi ni zile zile tuu na wote mtaitwa waasibu nakushauri kasome Udsm utojutia ila soma sana upate gpa kubwa na uwe vzr kichwani usishindwe maswali ya interview ukiulizwa kila la kheri...
 
Miaka 3 ya chuo. Mwaka 1 na nusu wa kutafuta CPA hapo ujue vitu kichwani pia kuna kozi zile za kia account account quick book chuo uwa awafundishi make sure uzijue zile zote afu uwe na CPA aisee utapata mchongo fasta tena wa maana...wewe tuu
 
Izo coz ukisoma make sure una pata gpa kubwa pia usome board CPA umalize hapo sasa ukimaliza utakuwa na 100% ya kupata kazi tena iyo ya Udsm ndo nzuri zaidi kuliko izo nyingine mana kazi ni zile zile tuu na wote mtaitwa waasibu nakushauri kasome Udsm utojutia ila soma sana upate gpa kubwa na uwe vzr kichwani usishindwe maswali ya interview ukiulizwa kila la kheri...
Iyo board cpa inatolewa hapo hapo au na kama haitolewi hapo je ni wap inatolewa?
 
Back
Top Bottom