Gharama za kusoma Canada zipoje?

K

Kamundu

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2006
Messages
2,314
Likes
735
Points
280
K

Kamundu

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2006
2,314 735 280
Je uchumi wa Canada ukoje kwa sasa?

Kazi zikoje kwa professional?

Gharama za kusoma vipi?

Nilikuwa nataka kulinganisha na US maana najua Canada ni expensive zaidi
 
BABA TUPAC

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Messages
1,181
Likes
1,946
Points
280
BABA TUPAC

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2015
1,181 1,946 280
na mtakimbia sana mwaka huu
 
izzo

izzo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Messages
2,848
Likes
5,773
Points
280
izzo

izzo

JF-Expert Member
Joined May 31, 2015
2,848 5,773 280
Canada ni nchi ya 10 Duniani kwa uchumi mkubwa huku pato la wastani wa kila mwananchi ni $47,771 pamoja na kuwa nchi ya 10 kiuchumi mkubwa ni nchi ya pili Duniani kwa Maendeleo makubwa ya kijamii ambayo yanajumuisha vitu 3

1 Mahitaji ya Msingi ya Binadamu, ambayo yanajumuisha huduma za matibabu, usafi wa mazingira, na makazi bora
2 Misingi ya Ustawi, ambayo inashughulikia elimu ,Upatikanaji wa Techinologia kwa wananchi pamoja na life expectancy.
3Fursa za ajira ,uhuru wa kuchagua na kuabudu ,haki za binadamu

Kuhusu kupata kazi za professional kazi zipo lakini kunavitu lazima uwe navyo kuzipata hzo kazi za professional kwanza unaitaji kupata kibali cha kufanyia kazi (Work Permit) ambapo kwa Canada zipo za aina mbili
1 Open work permits
Kibali hiki kinakuwezesha kufanya kazi kwa mwajiri yeyote ndani ya Canada lakini mwajiri wako ni lazima awe na sababu za kutosha kwa nini amekuajiri wewe na si Mcanada

2 An employer-specific work permit
Kibali maalum cha kazi kinachowezesha kufanya kazi kulingana na masharti ya kibali chako cha kazi, mara nying ni kwa kazi zisizo na ujuzi (unskilled jobs) kwani Canada kazi zipo katika category 3 ambazo ni
1 Professional
2 Skilled
3 Unskilled
Kupata kazi ya A class ambayo ni za Professional ni ngumu sana narudia tena ni ngumu sana sidhani kama ww unaweza kuwa na ujuzi au weredi wa kuajiriwa ww na akaachwa mcanada pili vigezo vya kupata kazi ni vingi sana pia utapitia kwenye test zaidi ya tatu au nne ili kuweza kuqualify standard za kufanya kazi Canada kwenye Professional jobs

Sijui umesomea nini lakini ningekushauri kupata kazi za daraja ya Pili yani B Class ambazo ni Skilled ni nzuri sana na malipo yake ni makubwa sana na kupata ni vyepesi hasa kazi za Trades work zipo kazi ya TW zaidi ya 32 lakini nakutajia 4 best kwa Cadana amabzo kipato chake kwa mwaka ni zaidi ya $51,000 -75,000 Kazi hizo ni
1 Electrician
2 Plumber
3 Welder
4 Construction
Kama unataka kusoma Trust me soma hizo Course hutojuta
 
A

abdukarim

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2017
Messages
488
Likes
592
Points
180
A

abdukarim

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2017
488 592 180

Kibali hiki kinakuwezesha kufanya kazi kwa mwajiri yeyote ndani ya Canada lakini mwajiri wako ni lazima awe na sababu za kutosha kwa nini amekuajili wewe na si Mcanada

2 An employer-specific work permit
Kibali maalum cha kazi kinachowezesha kufanya kazi kulingana na masharti ya kibali chako cha kazi, mara nying ni kwa kazi zisizo na ujuzi (unskilled jobs) kwani Canada kazi zipo katika category 3 ambazo ni
1 Professional
2 Skilled
3 Unskilled
Kupata kazi ya A class ambayo ni za Professional ni ngumu sana narudia tena ni ngumu sana sidhani kama ww unaweza kuwa na ujuzi au weredi wa kuajiliwa ww na akaachwa mkanada pili vigezo vya kupata kazi ni vingi sana pia utapitia kwenye test zaidi ya tatu au nne ili kuweza kuqualify standard za kufanya kazi Canada kwenye Professional jobs

Sijui umesomea nini lakini ningekushauri kupata kazi za daraja ya Pili yani B Class ambazo ni Skilled ni nzuri sana na malipo yake ni makubwa sana na kupata ni vyepesi hasa kazi za Trades work zipo kazi ya TW zaidi ya 32 lakini nakutajia 4 best kwa Cadana amabzo kipato chake kwa mwaka ni zaidi ya $51,000 -75,000 Kazi hizo ni
1 Electrician
2 Plumber
3 Welder
4 Construction
Kama unataka kusoma Trust me soma hizo Course hutojuta
Mkuu upon Canada nn maka ulivy fafanua nimependa
 
A

antimatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
1,609
Likes
954
Points
280
A

antimatter

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
1,609 954 280
Mkuu izo asante kwa ufafanuzi bt ungeweka list yote badala ya 4 tu.. Na je, unaweza ku apply ukiwa Tz au mpaka uwe huko kwanza?
 
J

Joorome

Member
Joined
Oct 16, 2017
Messages
39
Likes
20
Points
15
J

Joorome

Member
Joined Oct 16, 2017
39 20 15

ufanafanuzi mzuri sana
 
A

antimatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
1,609
Likes
954
Points
280
A

antimatter

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
1,609 954 280
Mkuu izo asante kwa ufafanuzi bt ungeweka list yote badala ya 4 tu.. Na je, unaweza ku apply ukiwa Tz au mpaka uwe huko kwanza?
correction: Mkuu izzo
 
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
3,428
Likes
2,756
Points
280
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
3,428 2,756 280
Kusoma Canada sio Expensive kama USA, ukilinganisha na dola yao ni 1,700 hivi, sema elimu ya kule ni nzuri sana na ukimaliza unapewa mwaka mmoja wa mafunzo sasa ni wewe ukiamua kuendelea na maisha kule

rent zao na nyumba pia ziko chini ukilinganisha na USA

CHAKUFANYA

1. Fanya IELTS maliza upate score si chini ya 6.5 kama ni masomo ya maelezo hapa lazima uwe na 7.0 kuanzia

2. kama ni Engineering fanya GRE upate si chini ya 75 kama ni masomo ya maelezo hapa hauhitaji huu mtihani

3. Kama Unajisomesha andaa Bank statement isio chini ya TSHS.35,000,000/= kwa mwaka mmoja
 
izzo

izzo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Messages
2,848
Likes
5,773
Points
280
izzo

izzo

JF-Expert Member
Joined May 31, 2015
2,848 5,773 280
Mkuu izo asante kwa ufafanuzi bt ungeweka list yote badala ya 4 tu.. Na je, unaweza ku apply ukiwa Tz au mpaka uwe huko kwanza?
Nimeweka hizo nne kutokana na umuhimu wake na wepesi wake sidhani kama utaitaji kuwa na akili sana au IQ kubwa kusoma fani hizo kinachoitajika ni uelewa wa kawaida sana pia kuna kitu unatakiwa kujua binadamu yeyote unatakiwa kufikiria about ur future coz ndio tunaigopa kuliko past .

Canada ina eneo la 9.985 million km² na idadi ya watu 36.29 million wakati US ina eneo la 9.834M km² na idadi ya watu 323.1 million so Canada ni kubwa kuliko US na Idadi ya watu ni wachache kuliko Tanganyika na Zanzibar kwa pamoja so Inamaana katika 100% ya Canada ni 20% ya eneo ndio kuna watu na harakati za binadamu zinafanyika so 80% bado na Tunapokwenda Duniani inazidi kuongezeka na watu wanazidi kuamia sehemu mbalimbali na Canada ,Australia na Scandinavian country ndio Target ya watu mbalimbali kutoka duniani so watu hawa wataitaji makazi na kwenye makazi ndipo utapata
1 Electrician
2 Plumber
3 Welder
4 Construction
Hizi ndio kazi pekee Duniani na Ulaya hazijapata threat na zinaendelea kukua kila siku tofauti na kazi zingine ambazo zinatishiwa kuja kuchukuliwa na Robots au Machine

Kuhusu kuapply unaweza kuapply popote tu kama unavyapply vyuo vingine utaratibu ni uleule tu advantage ya kozi hizi tofauti na kozi zingine ambazo watu wanakwenda kusoma nje ni

Kozi inachukua miaka 5 lakini Darasani unakaaa masaa 300 tu lakini kazini unakaa masaa 9000 kwa Ontario na kwingine ndani ya Canada ni masaa 8000

UFAFANUZI
Ukianza course hizi unakwenda vyuo vya ufundi vigezo ni elimu ya High School au Grade 12 kwa Canada yote au Grade 10 kwa Ontario au Elimu ya Certificate au Diploma nimetofautisha Ontario kwa sababu Cnada kuna majimbo 18 ambayo kila jimbo lina sheria zake so sheria za Ontario ni tofauti kidogo na zingine so unakwenda chuo unasoma darasani kwa masaa 300 ambayo ni kama siku 25, then unafanya mtihani ukipass unapatiwa cheti kinachoitwa Certificate of Apprenticeship ukipata cheti unakwenda kufanya field ambayo unatakiwa kufikisha masaa 9000 kwa Ontario au 8000 kwa Canada yote katika kufanya Field hyo unapatiwa working permit kwa sababu utakuwa unafanya kazi na kulipwa wakati unasoma na malipo yako yatakuwa ni $15-20 kwa saa kama Apprentices Electricians chuo unakuwa unakwenda kwa mwezi mara 4 tu kupeleka report ya maendeleo yako ya kazi ambayo inakuwa imesainiwa na msimamizi wako wa kazi au field ambae ni journeyperson electricians ukimaliza masaa yako 9000 au 8000 ambayo ni miaka 4-5 kwenye Field unakwenda kufanya mtihani na ukipass kwa kiwango cha kuanzia 70% ndio unakuwa journeyperson electricians yani fundi kamili same na fani zingine kama
1 Electrician
2 Plumber
3 Welder
4 Construction
Fani zote njia ya kusomea ni zilezile
 
A

antimatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
1,609
Likes
954
Points
280
A

antimatter

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
1,609 954 280
Asante kwa ufafanuzi mkuu
 
YALE

YALE

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2017
Messages
315
Likes
355
Points
80
YALE

YALE

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2017
315 355 80
Canada ni nchi ya 10 Duniani kwa uchumi mkubwa huku pato la wastani wa kila mwananchi ni $47,771 pamoja na kuwa nchi ya 10 kiuchumi mkubwa ni nchi ya pili Duniani kwa Maendeleo makubwa ya kijamii ambayo yanajumuisha vitu 3

1 Mahitaji ya Msingi ya Binadamu, ambayo yanajumuisha huduma za matibabu, usafi wa mazingira, na makazi bora
2 Misingi ya Ustawi, ambayo inashughulikia elimu ,Upatikanaji wa Techinologia kwa wananchi pamoja na life expectancy.
3Fursa za ajira ,uhuru wa kuchagua na kuabudu ,haki za binadamu

Kuhusu kupata kazi za professional kazi zipo lakini kunavitu lazima uwe navyo kuzipata hzo kazi za professional kwanza unaitaji kupata kibali cha kufanyia kazi (Work Permit) ambapo kwa Canada zipo za aina mbili
1 Open work permits
Kibali hiki kinakuwezesha kufanya kazi kwa mwajiri yeyote ndani ya Canada lakini mwajiri wako ni lazima awe na sababu za kutosha kwa nini amekuajiri wewe na si Mcanada

2 An employer-specific work permit
Kibali maalum cha kazi kinachowezesha kufanya kazi kulingana na masharti ya kibali chako cha kazi, mara nying ni kwa kazi zisizo na ujuzi (unskilled jobs) kwani Canada kazi zipo katika category 3 ambazo ni
1 Professional
2 Skilled
3 Unskilled
Kupata kazi ya A class ambayo ni za Professional ni ngumu sana narudia tena ni ngumu sana sidhani kama ww unaweza kuwa na ujuzi au weredi wa kuajiriwa ww na akaachwa mcanada pili vigezo vya kupata kazi ni vingi sana pia utapitia kwenye test zaidi ya tatu au nne ili kuweza kuqualify standard za kufanya kazi Canada kwenye Professional jobs

Sijui umesomea nini lakini ningekushauri kupata kazi za daraja ya Pili yani B Class ambazo ni Skilled ni nzuri sana na malipo yake ni makubwa sana na kupata ni vyepesi hasa kazi za Trades work zipo kazi ya TW zaidi ya 32 lakini nakutajia 4 best kwa Cadana amabzo kipato chake kwa mwaka ni zaidi ya $51,000 -75,000 Kazi hizo ni
1 Electrician
2 Plumber
3 Welder
4 Construction
Kama unataka kusoma Trust me soma hizo Course hutojuta
Je kama mtu amesomea Bongo miongoni mwa hizo course na akazamia uko mkuu?
 
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
3,498
Likes
3,119
Points
280
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
3,498 3,119 280
Je taratibu za kupata kibali cha makazi zikoje mkuu ?
 
izzo

izzo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Messages
2,848
Likes
5,773
Points
280
izzo

izzo

JF-Expert Member
Joined May 31, 2015
2,848 5,773 280
Je kama mtu amesomea Bongo miongoni mwa hizo course na akazamia uko mkuu?
Sidhani kama Dunia ya sasa inaitaji mtu kuzamia kwenda nchi nyingine kinyume na sheria wakati kufata sheria kwenda ni gharama ndogo kuliko gharama ya kujificha na kukwepa mkono wa sheria utakapokamatwa

Kwanza unatakiwa kujua wazungu hawaiamini elimu ya Bara la Africa sehemu pekee ndani ya Africa ambayo kidogo elimu yake wanaiamini ni South Africa tu so kama ww ni Fundi wa Fani nilizozisema hapo juu kuja kupata kazi Canada Unaitaiji kupitia kwenye test nying sana mpaka upate kibali cha kufanya kazi kama fundi kamili tofauti ungesomea hapa.

UTARATIBU
Kama umeesomea nje ya Canada utaratibu ni Kwanza ni lazima ujisajili kwenye vyama ya mafundi au Trades workers katika mji utakao fikia ambavyo vinajulikana kama (IBEW no.213) unajisajili na kufanya mitihani ambapo ufaulu ni kuanzia 70% kwenda juu unafanya mitihani 4 ukipass unapata cheti cha Red Seal journeyman certification baada ya hapo unakwenda tena shule kujifunza codes ambazo zinajulikana kama (Canadian electrical code) kumbuka codes zinatofautiana kutokana na course yako hapa nazungumzia mafundi umeme kujifunza codes hizo chuo utalipia kiasi cha $1825 + $1,000 ya cost of books and taxes course ni ya wiki 6 tu

Pia unatakiwa kusoma kitabu cha “Canadian Construction and Maintenance Exam kitabu ambacho kinaelezea mifumo yote ya umeme na miundombinu ya Canada na maswali ya mitihani huwa yanatoka kwenye kitabu hiki but kama unavyojua uwezi kujua ni maswali gai yatatoka kwenye mtihani wako kitabu hiki kina sura 86 tu ambapo baada ya kumaliza wiki 6 za mafunzo utafanya mtihani wa mwisho tena ukipass with frying colours utapatiwa cheti then unaruhusiwa kufanya kazi Canada
 
M

Msema yote

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Messages
451
Likes
133
Points
60
M

Msema yote

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2013
451 133 60

Wemzetu wako very strictly kwenye elimu na afya, hawataki mzahaa
 
izzo

izzo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Messages
2,848
Likes
5,773
Points
280
izzo

izzo

JF-Expert Member
Joined May 31, 2015
2,848 5,773 280
Wemzetu wako very strictly kwenye elimu na afya, hawataki mzahaa
Baada ya Ulinzi na Usalama kinachofata ni Afya na Elimu bila kuwa na elimu bora na huduma bora za afya ndani ya Taifa ,lazima taifa lako litakua ni taifa la wapumbavu na wagonjwa
 
O

Obadiahmayunga

Senior Member
Joined
Sep 19, 2014
Messages
164
Likes
104
Points
60
Age
26
O

Obadiahmayunga

Senior Member
Joined Sep 19, 2014
164 104 60
Je uchumi wa Canada ukoje kwa sasa?

Kazi zikoje kwa professional?

Gharama za kusoma vipi?

Nilikuwa nataka kulinganisha na US maana najua Canada ni expensive zaidi
kaka gharama za kusoma canada ni very expensive kwa international student naongea kama expericed person may be baba yako awe fisadi au capitalist njia rahisi nenda kama kutembea then unazamia unatafuta makaratasi then unasoma kiurahisi saaaana mind you hakuna visa ngumu kupata kama ya canada duniani hapa
 
Marcel Nkarangu

Marcel Nkarangu

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
295
Likes
70
Points
45
Marcel Nkarangu

Marcel Nkarangu

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
295 70 45
Safi sana jombaa
 
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Messages
4,590
Likes
5,086
Points
280
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2009
4,590 5,086 280
Canada ni nchi ya 10 Duniani kwa uchumi mkubwa huku pato la wastani wa kila mwananchi ni $47,771 pamoja na kuwa nchi ya 10 kiuchumi mkubwa ni nchi ya pili Duniani kwa Maendeleo makubwa ya kijamii ambayo yanajumuisha vitu 3

1 Mahitaji ya Msingi ya Binadamu, ambayo yanajumuisha huduma za matibabu, usafi wa mazingira, na makazi bora
2 Misingi ya Ustawi, ambayo inashughulikia elimu ,Upatikanaji wa Techinologia kwa wananchi pamoja na life expectancy.
3Fursa za ajira ,uhuru wa kuchagua na kuabudu ,haki za binadamu

Kuhusu kupata kazi za professional kazi zipo lakini kunavitu lazima uwe navyo kuzipata hzo kazi za professional kwanza unaitaji kupata kibali cha kufanyia kazi (Work Permit) ambapo kwa Canada zipo za aina mbili
1 Open work permits
Kibali hiki kinakuwezesha kufanya kazi kwa mwajiri yeyote ndani ya Canada lakini mwajiri wako ni lazima awe na sababu za kutosha kwa nini amekuajiri wewe na si Mcanada

2 An employer-specific work permit
Kibali maalum cha kazi kinachowezesha kufanya kazi kulingana na masharti ya kibali chako cha kazi, mara nying ni kwa kazi zisizo na ujuzi (unskilled jobs) kwani Canada kazi zipo katika category 3 ambazo ni
1 Professional
2 Skilled
3 Unskilled
Kupata kazi ya A class ambayo ni za Professional ni ngumu sana narudia tena ni ngumu sana sidhani kama ww unaweza kuwa na ujuzi au weredi wa kuajiriwa ww na akaachwa mcanada pili vigezo vya kupata kazi ni vingi sana pia utapitia kwenye test zaidi ya tatu au nne ili kuweza kuqualify standard za kufanya kazi Canada kwenye Professional jobs

Sijui umesomea nini lakini ningekushauri kupata kazi za daraja ya Pili yani B Class ambazo ni Skilled ni nzuri sana na malipo yake ni makubwa sana na kupata ni vyepesi hasa kazi za Trades work zipo kazi ya TW zaidi ya 32 lakini nakutajia 4 best kwa Cadana amabzo kipato chake kwa mwaka ni zaidi ya $51,000 -75,000 Kazi hizo ni
1 Electrician
2 Plumber
3 Welder
4 Construction
Kama unataka kusoma Trust me soma hizo Course hutojuta
Mkuu sasa kusomea Plumber Welder etc lazima usomee bongo kabla ya kuomba kazi Canada au unaweza kuomba kusoma Canada
Alberta ni province nzuri kuanzia maisha wana privilege nyingi toka serikalini. Unafuu wa kodi....
 
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Messages
4,590
Likes
5,086
Points
280
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2009
4,590 5,086 280
kaka gharama za kusoma canada ni very expensive kwa international student naongea kama expericed person may be baba yako awe fisadi au capitalist njia rahisi nenda kama kutembea then unazamia unatafuta makaratasi then unasoma kiurahisi saaaana mind you hakuna visa ngumu kupata kama ya canada duniani hapa
Visa ya Canada ni ngumu sana wako makini sana na watu wanaoingia nchini kwao.
 
Lukwafya bhagasi

Lukwafya bhagasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Messages
1,257
Likes
1,240
Points
280
Lukwafya bhagasi

Lukwafya bhagasi

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2017
1,257 1,240 280
Canada ni nchi ya 10 Duniani kwa uchumi mkubwa huku pato la wastani wa kila mwananchi ni $47,771 pamoja na kuwa nchi ya 10 kiuchumi mkubwa ni nchi ya pili Duniani kwa Maendeleo makubwa ya kijamii ambayo yanajumuisha vitu 3

1 Mahitaji ya Msingi ya Binadamu, ambayo yanajumuisha huduma za matibabu, usafi wa mazingira, na makazi bora
2 Misingi ya Ustawi, ambayo inashughulikia elimu ,Upatikanaji wa Techinologia kwa wananchi pamoja na life expectancy.
3Fursa za ajira ,uhuru wa kuchagua na kuabudu ,haki za binadamu

Kuhusu kupata kazi za professional kazi zipo lakini kunavitu lazima uwe navyo kuzipata hzo kazi za professional kwanza unaitaji kupata kibali cha kufanyia kazi (Work Permit) ambapo kwa Canada zipo za aina mbili
1 Open work permits
Kibali hiki kinakuwezesha kufanya kazi kwa mwajiri yeyote ndani ya Canada lakini mwajiri wako ni lazima awe na sababu za kutosha kwa nini amekuajiri wewe na si Mcanada

2 An employer-specific work permit
Kibali maalum cha kazi kinachowezesha kufanya kazi kulingana na masharti ya kibali chako cha kazi, mara nying ni kwa kazi zisizo na ujuzi (unskilled jobs) kwani Canada kazi zipo katika category 3 ambazo ni
1 Professional
2 Skilled
3 Unskilled
Kupata kazi ya A class ambayo ni za Professional ni ngumu sana narudia tena ni ngumu sana sidhani kama ww unaweza kuwa na ujuzi au weredi wa kuajiriwa ww na akaachwa mcanada pili vigezo vya kupata kazi ni vingi sana pia utapitia kwenye test zaidi ya tatu au nne ili kuweza kuqualify standard za kufanya kazi Canada kwenye Professional jobs

Sijui umesomea nini lakini ningekushauri kupata kazi za daraja ya Pili yani B Class ambazo ni Skilled ni nzuri sana na malipo yake ni makubwa sana na kupata ni vyepesi hasa kazi za Trades work zipo kazi ya TW zaidi ya 32 lakini nakutajia 4 best kwa Cadana amabzo kipato chake kwa mwaka ni zaidi ya $51,000 -75,000 Kazi hizo ni
1 Electrician
2 Plumber
3 Welder
4 Construction
Kama unataka kusoma Trust me soma hizo Course hutojuta
Umenifumbua macho kumbe nikienda huko baada ya mwaka nikirudi naweza kumtukana hata dangote
 
Forum statistics

Threads 1,235,546
Members 474,641
Posts 29,226,358