Probably mpaka uwe na Postgraduate diploma ya mambo ya Sheria kwanza kabla ya kusoma MastersMimi ni mfanyakazi wa sekta binafsi, nina shahada ya kwanza ya usimamiz wa rasilimali watu kutoka chuo gwiji ktk mambo ya utawala na usimamizi MZUMBE UNIVERSITY (MU).Naweza kusoma masters ya sheria naomba muongoz.Gpa yang ni above 3.0
Hongera, natamani hata mi ningeweza soma Mzumbe, nasikia wapo vizuri sana. Haiwezekani kusoma hiyo kitu according to TCU.Mimi ni mfanyakazi wa sekta binafsi, nina shahada ya kwanza ya usimamiz wa rasilimali watu kutoka chuo gwiji ktk mambo ya utawala na usimamizi MZUMBE UNIVERSITY (MU).Naweza kusoma masters ya sheria naomba muongoz.Gpa yang ni above 3.0
Anaweza soma.lakini you will never beba lawyer . kuwa lawyer mpaka use na.first degree ya sheria LLB na then law school. Kasome kwa kukifurahisha na kuelewa mambo but you will never be a learned oneProbably mpaka uwe na Postgraduate diploma ya mambo ya Sheria kwanza kabla ya kusoma Masters