Chuo cha Kilimo na Technologia cha Mwalimu Nyerere Butiama, mbona hakianzi kuchukua wanafunzi?

Amo90

Member
May 20, 2020
26
75
Habari wadau wa elimu,

kuna chuo cha kilimo na technologia butiama kilianza mwaka 2014. Chuo kipo butiama na kina walimu na majengo yote muhimu kwa program za bachelor au diploma kuanza lkn chakushangaza tangu mwaka 2014 haukana mwanafunzi aliechukuliwa hapo cchuon japo kuna walimu wakutosha na wanakula mishahara ya bure tu kila mwez kuna vyuo vimeanza nyuma yake vimechukua wanafunzi zaid ya mara ttu lkn hii hamna kitu.

Je shida ni mkuu wa chuo au wakubwa hawataki kianze? Wahusika chukuen hatua kama haikipo ktk mipango basi sitisheni malipo kwa watumishi wanaokaa pale bure kabisa au wapeleken ktk vyuo vingine vya seikali vyenye uhitaji.

Naomba kuwasilisha
 
Chuo kipo butiama na kina walimu na majengo yote muhimu kwa program za bachelor au diploma kuanza lkn chakushangaza tangu mwaka 2014 haukana mwanafunzi aliechukuliwa hapo cchuon japo kuna walimu wakutosha na wanakula mishahara ya bure tu kila mwez kuna vyuo vimeanza nyuma yake vimechukua wanafunzi zaid ya mara ttu lkn hii hamna kitu.
Kuna mapungufu ambayo yanafanyiwa kazi. Enzi hizi za hapa kazi tu, kama mkuu wa chuo angekuwa amelala basi rungu lingemwangukia. Chuo na baadhi ya walimu wapo lakini majengo hayajakamilika na vyanzo vinaonyesha kuwa kuna mkopo uliopatikana kwa ajili ya ujenzi. Mambo yakienda sawa labda 2021/2022 watakuwa na intake ya kwanza. Unajua serikali inaweza kuanzisha kitu hata kabla ya kujipanga sasa ukifikiria jina la chuo imebidi wavumilie wakati wanaweka mambo safi kwa maendeleo ya chuo.
 
Habari wadau wa elimu,

kuna chuo cha kilimo na technologia butiama kilianza mwaka 2014. Chuo kipo butiama na kina walimu na majengo yote muhimu kwa program za bachelor au diploma kuanza lkn chakushangaza tangu mwaka 2014 haukana mwanafunzi aliechukuliwa hapo cchuon japo kuna walimu wakutosha na wanakula mishahara ya bure tu kila mwez kuna vyuo vimeanza nyuma yake vimechukua wanafunzi zaid ya mara ttu lkn hii hamna kitu.

Je shida ni mkuu wa chuo au wakubwa hawataki kianze? Wahusika chukuen hatua kama haikipo ktk mipango basi sitisheni malipo kwa watumishi wanaokaa pale bure kabisa au wapeleken ktk vyuo vingine vya seikali vyenye uhitaji.

Naomba kuwasilisha
 
Habari wadau wa elimu,

kuna chuo cha kilimo na technologia butiama kilianza mwaka 2014. Chuo kipo butiama na kina walimu na majengo yote muhimu kwa program za bachelor au diploma kuanza lkn chakushangaza tangu mwaka 2014 haukana mwanafunzi aliechukuliwa hapo cchuon japo kuna walimu wakutosha na wanakula mishahara ya bure tu kila mwez kuna vyuo vimeanza nyuma yake vimechukua wanafunzi zaid ya mara ttu lkn hii hamna kitu.

Je shida ni mkuu wa chuo au wakubwa hawataki kianze? Wahusika chukuen hatua kama haikipo ktk mipango basi sitisheni malipo kwa watumishi wanaokaa pale bure kabisa au wapeleken ktk vyuo vingine vya seikali vyenye uhitaji.

Naomba kuwasilisha
Vumilieni kitafunguliwa tu
 
Back
Top Bottom