Ubora wa PhD za Open Univ. Mzumbe & UDOM

Duu! Nimekumbuka matarumbeta wanayopigiwa wakienda kutunukiwa, halafu wanakwenda kwa mwendo wa maringoooo, raha sana. Wanatembea taratibuuu.
Mkuu Mungu akutangulie ufanye hiyo Phd yako na mwisho ufanikiwe
Inshallah! laiti Muslim University of Morogoro wangekuwa wanatoa PhD pengine ningesoma hapo. Maana wana programmes nzuri sana Undergraduate.
 
True, hata the state university of Zanzibar, sijui siku hizi. Hapo morogoro wapo vizuri sana nilikuaga na kademu kangu hapo aisee kalikua kanajua vitu hatari theory and practical....
Pia mimi niliwahi na Kademu hapo Moro sema tulikuwa tunafanya kwa siri sana maana wale jamaa wakikustukia Mgalatia unakamua mwenzao ama wakupopoe mawe au bibie afukuzwe chuo. So disgusting. Unafiki tu
 
Pia mimi niliwahi na Kademu hapo Moro sema tulikuwa tunafanya kwa siri sana maana wale jamaa wakikustukia Mgalatia unakamua mwenzao ama wakupige mawe au bibie afukuzwe chuo. So disgusting. Unafiki tu

Nilikuaga nakadakia huku Dar, hata siku tatu kanakuja napiga vitu kwa hotel. Sijui kalikua kana fanyaje hadi kanapata mpenyo wa kuja huku Dar kukulwa. Mwanamke akikupenda anafanya lolote ili kukufurahisha na akikuchukia pia utakoma na unaweza juta kumfahamu.

Safari njema ya Phd....
 
Hongera sana kwa kupata joto la Hijjab
 
Wakuu nataka kujiendeleza kwa ngazi ya PhD kati ya Open University, Mzumbe au UDOM nisaidien kujua ubora wa vyuo tajwa
Nenda ESAMI Arusha, utasoma PhD ya Mastrich University ya Netherland ukimaliza hapo hutakuwa na maneno yenye utata na utakuwa na msimamo na ukitaka kuchangia hoja au kuongea kitu utafikiria kwanza ukitoa kila mtu anakukubali. ole wako usiingie kwenye siasa za nchi ile kaa mbali maana watakuharibu
 
Ada yake inacheza kwenye ngap?
 
Duu! Nimekumbuka matarumbeta wanayopigiwa wakienda kutunukiwa, halafu wanakwenda kwa mwendo wa maringoooo, raha sana. Wanatembea taratibuuu.
Mkuu Mungu akutangulie ufanye hiyo Phd yako na mwisho ufanikiwe
Duh ukiuzulia hzo sherehe utataman shle japo mziki wake n mkubwa m nakumbuka kuna jamaa alikuwa nguli wa mambo ya language na alituenyesha sana sasa sku ya presentation yake nkauzulia jamn phd n kasheshe kwanza akat anapresent akaambiwa unasoma au unaimba maana hatuelew jamaa alipanic kinyama
 
Alikuja kutunukiwa au ndio alifeli jumla?
 
Back
Top Bottom