Wakuu je kupata mkopo wa bodi ni bahati

kitokololoo

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
646
1,000
Nimemaliza form four 2010 nimesoma shule ya kata pia nina diploma yenye gpa ya 4.7 nimeomba mkopo kozi niliyochaguliwa degree ni business administration nimeambatanisha na vyeti vya vifo vya wazazi wote wawili. Bodi ndyo tegemeo langu kusoma

Je, kwa wale waliobahatika kupata mkopo mimi naweza pata ata asilimia kidogo ili niweze kusoma?

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
mind bringer

Senior Member
Oct 19, 2017
133
225
Nimemaliza form four 2010 nimesoma shule ya kata pia nina diploma yenye gpa ya 4.7 nimeomba mkopo kozi niliyochaguliwa degree ni business administration nimeambatanisha na vyeti vya vifo vya wazazi wote wawili. Bodi ndyo tegemeo langu kusoma

Je, kwa wale waliobahatika kupata mkopo mimi naweza pata ata asilimia kidogo ili niweze kusoma?

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
utapata mkuu....sema andaa ela ya direct fees
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,953
2,000
Kama wanafuata haki na umeweka evidence ya kufiwa na wazazi sioni kwa nini usipate, lakini hawa jamaa saa nyingine hawaeleweki kama kucheza kamali hivi.
 
Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
2,863
2,000
Mkopo utapata asilimia zote 100, la msingi uwe umehakiki vyeti vyako vyote (Vya kifo + kuzaliwa). Hawa jamaa hawana longolongo kama umefuata masharti yao.

Kwasababu katika masharti yao, wewe unakidhi vigezo vyote. Kaa mkao wa kula tu!!!
 
RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2016
2,567
2,000
Mkuu utapata kidogo, maana hicho unachoenda kusomea kwa sasa sio kipaumbele cha serikali. Lakini naamini utapata japo 35%• Ingekuwa kipindi cha mkwere ningekuambia utapata japo 100%•
 
mtena

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
2,107
2,000
Nilipomaliza advance 2010 nilipitia mazingira kama yako

Nkachaguliw kwenda kusoma law SAUT sikulamba hata mia iliyotoboka
Ila usikate tamaa

Endelea kuwa mvumiliv tu
 
nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
760
500
Nilipomaliza advance 2010 nilipitia mazingira kama yako

Nkachaguliw kwenda kusoma law SAUT sikulamba hata mia iliyotoboka
Ila usikate tamaa

Endelea kuwa mvumiliv tu
SAUT ulisomea fani gani, labda ilikuwa sababu kukosa mkopo?
 
5G IQ

Member
Sep 26, 2018
65
95
kama umeweka vyeti vya kifo bas we jua firt batch jina lako lita kuwepo hata kama umeomba course mbovu kias gan ila mkopo utapata
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom