Matokeo darasa la saba 2009 kurudi nyuma

gm man

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
1,177
Reaction score
1,456
Wakuu

Hivi kwa Wale walio maliza darasa la saba kuanzia mwaka 2009 kurudi nyuma wanawezaje kuona matokeo yao huku mtandaoni???

Kama kuna link basi naomba iwekwe ili tuangalie

Wengine hata hatujui yalikuwaje
 
Wakuu kuna wengi waliomaliza darasa la saba 2010 kurudi nyuma hawakubahatika kuona matokeo yao..je wafanyeje ili waweze kuyaona especially humu mtandaoni
 
Mkuu hicho kipindi matokeo ya darasa la saba yalikuwa hayawekwi kwenye mtandao, ispokuwa yalikuwa yanabandikwa shuleni, kwahiyo mwenye kutaka matokeo ya kipindi hicho aende shule aliyomalizia anaweza kupata matokeo yake
 
Back
Top Bottom