Nina bachelor ya Mining Engineering nataka kujiunga na masomo ya CPA

Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Feb 26, 2020
707
1,000
Nina bachelor ya Mining Engineering nataka kujiunga na masomo ya CPA ili nijibanze kwenye kuhesabu pesa za madini, nipeni utaratibu, gharama zake ni sh ngapi na mtihani ni mwezi wa ngapi.
 
Mlenge

Verified Member
Oct 31, 2006
1,919
2,000
Wasiliana na NBAA. Watakuambia pa kuanzia, pamoja na majibu ya maswali yoyote utakayokuwa nayo.
 
Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,204
2,000
Nenda ofisi zao kule bibi titi utaelezwa kila kitu, kwa hio degree ya mining ili usome cpa utasoma jumla ya masomo 15

Nakushauri utafute kwanza kazi huko mogodini ndio ukipata hio cpa labda uombe kuhamishiwa kuwa muhasibu,

kwa upande wa kazi za kuomba kwa mara ya kwanza na sio uhamisho wanatakaga degree za uhasibu + cpa vyote kwa pamoja

Pia ujiandae kulipia 675,000 ya uanachama kila mwaka utapohitimu
 
Okay, lkn mimi nahitaji skills basi sijapanga kuwa mwanachama
 
uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
5,597
2,000
Nina bachelor ya Mining Engineering nataka kujiunga na masomo ya CPA ili nijibanze kwenye kuhesabu pesa za madini, nipeni utaratibu, gharama zake ni sh ngapi na mtihani ni mwezi wa ngapi.

Kama una umri chini ya miaka 30 May be, ila after that sishauri..... hizo ni professional mbili tofauti, na unasoma sababu umeambiwa CPA ila deal, I want to tell you Haina deal!

Deal katika maisha kwa sasa ni ku stick with one thing, kumwomba Mungu, kukiamini na kujitahidi, ukihangaika utazeeka una hangaika!
 
Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Feb 26, 2020
707
1,000
Kama una umri chini ya miaka 30 May be, ila after that sishauri..... hizo ni professional mbili tofauti, na unasoma sababu umeambiwa CPA ila deal, I want to tell you Haina deal!

Deal katika maisha kwa sasa ni ku stick with one thing, kumwomba Mungu, kukiamini na kujitahidi, ukihangaika utazeeka una hangaika!
Nipo chini ya 30 alafu kichwa yangu sio ya mchezo mkuu, tangia vidudu mpaka chuo kikuu nimekua wa kwanza, kwenye masomo yangu haijalishi ni chuo gani au ni masomo gani, masomo ya account kwangu ni cha mtoto, nataka kupata ujuzi tu, kushift kwenda kwenye uhasibu haitakua tatizo kwangu
 
NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
590
500
Nenda moja kwa moja kwenye mitihani ya board kuna modules zao si lazima uende darasani
 
Swala sio akili, swala is to know what you want and pursue that! Ila below 30 waweza kucheza, ila you must chose what you to do and invest huko!

Baada ya first degree unaanza kujenga experience, Sasa kama utakuwa unaongeza vitu bila experience Haina maana!
 
Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Feb 26, 2020
707
1,000
Nenda moja kwa moja kwenye mitihani ya board kuna modules zao si lazima uende darasani
Na nikisha f
Swala sio akili, swala is to know what you want and pursue that! Ila below 30 waweza kucheza, ila you must chose what you to do and invest huko!

Baada ya first degree unaanza kujenga experience, Sasa kama utakuwa unaongeza vitu bila experience Haina maana!
Oooooh, okay, nmekupata ila hilo halina tatizo kwangu, maana sihitaji kuajiliwa najiajili mwenyewe, lkn naihitaji sana sana elimu ya uhasibu, nahitaji kujua sheria za biashara, nahitaji kujua financial management, nahitaji kujua kuandaa financial statements, ndio haya nayo yahitaji.
 
uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
5,597
2,000
Na nikisha f

Oooooh, okay, nmekupata ila hilo halina tatizo kwangu, maana sihitaji kuajiliwa najiajili mwenyewe, lkn naihitaji sana sana elimu ya uhasibu, nahitaji kujua sheria za biashara, nahitaji kujua financial management, nahitaji kujua kuandaa financial statements, ndio haya nayo yahitaji.

Ni sawa, ila uzoefu na umri vinaweza kuku proved wrong! Don’t waste time, anza Safari ya kuelekea unapotaka kwenda!

Kama hutaki ajiriwa CPA ya nini? Mie Nina bachelor ya account, CPA and post graduate ya community development.....
 
ngutu

Member
Jul 21, 2016
92
125
Nipo chini ya 30 alafu kichwa yangu sio ya mchezo mkuu, tangia vidudu mpaka chuo kikuu nimekua wa kwanza, kwenye masomo yangu haijalishi ni chuo gani au ni masomo gani, masomo ya account kwangu ni cha mtoto, nataka kupata ujuzi tu, kushift kwenda kwenye uhasibu haitakua tatizo kwangu

Hongera kwa kuongoza kwenye taaluma mkuu,vp kwenye upande wa uchumi wako binafsi hujaelezea unaongoza vijana wenye umri wa miaka uliyonayo kama darasani?au ndo umepata elimu lakini akili ya kitumia elimu yako kuongoza vijana wa rika lako kiuchumi hauna?ELIMU unayo tayari vp kuhusu AKILI mkuu zipo kweli ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Feb 26, 2020
707
1,000
Hongera kwa kuongoza kwenye taaluma mkuu,vp kwenye upande wa uchumi wako binafsi hujaelezea unaongoza vijana wenye umri wa miaka uliyonayo kama darasani?au ndo umepata elimu lakini akili ya kitumia elimu yako kuongoza vijana wa rika lako kiuchumi hauna?ELIMU unayo tayari vp kuhusu AKILI mkuu zipo kweli ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka Sasa nina kampuni zangu mkuu, na nimeajiri vijana kama wewe wanapiga kazi, acha zarau
 
Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Feb 26, 2020
707
1,000
Ni sawa, ila uzoefu na umri vinaweza kuku proved wrong! Don’t waste time, anza Safari ya kuelekea unapotaka kwenda!

Kama hutaki ajiriwa CPA ya nini? Mie Nina bachelor ya account, CPA and post graduate ya community development.....
Je kama nipo kwenye kampuni ya familia mkuu unaweza kujuaje,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom