Samahani,
Naomba kuuliza mtu anayesoma kozi hiyo ya project planning and management anaweza kuapply wapi kazi?
Nahitaji kusoma kozi iyo nitakapomaliza form six.
Msaada tafadhali.
Hakuna jambo baya kama wizi wa mitihani kwani hupelekea kupata mabosi Vilaza na kutuletea tabu kwenye taifa.
Wilaya ya Kilindi ilikua ni mojawapo ya Ngome za uvujaji wa mitihani , ilifikia hatua...
Habari wakuu,
Nina kijana anahitaji kusoma masuala ya ufundi anapenda hasa masuala ya bomba yupo kanda ya ziwa na nikaona Chato ni karibu zaidi lakini mpaka sasa sijui utaratibu wa VETA hii uko...
Wandugu, nimeuliza wahadhiri, wanafunzi wa vyuo hawakueza kunijibu. Je, degree with Honors inakuaje?
1. Kuna waliosema anapewa mtu ambae hakuwahi kuwa kuwa na Supplimentary ila nimeshuhudia wenye...
Katika kukabiliana na tatizo kubwa la wanafunzi wa vyuo vikuu kukosa mikopo,napendekeza zianzishwe tozo maalumu kwa ajili ya kutunisha mfuko wa Bodi ya Mikopo kwa lengo la kuwezesha watoto wa...
Jamani wadau naombeni msaada wenu mm nilifanya mthni wa kujiunga na veta mwaka Jana nikachaguliwa kozi hii LABORATORY ASSISTANT.
Hivyo wadau, naombeni msaada: je, kozi hii vp ajira yake yani soko...
Katika pitapita zangu mjini si nikakutana na mchette akiwa kwenye mishe zake akaniita 'we idara nyeti upo kijana wangu mtukutu nikamwambia mie saivi mtukufu nikakumbuka long maisha ya Kigoma...
Hivi hii taarifa inayoenea kuwa deni linaloonekana kupungua kwenye salary slip ni tofauti na uhalisia uliopo kwenye database ya HESLB ina ukweli?
Tupeni uzoefu kwa mliowahi kuomba Loan statement...
Baada ya watu Jana kuniomba niwaelezee jinsi ya kupata nafasi kusoma ulaya.
Kwa ujumla nchi nyingi ulaya hazilipishi ada kwa wanafunzi(ufaransa +Germany+ Finland+Norway{not sure}[Belgium ipo ila...
Habari wadau,
Ningependa kufahamu mtu anayesoma kozi TAXATION anaweza kufanya kazi sehemu zipi?
Na kati ya kozi ya TAXATION na PROCUREMENT ni ikozi ipi yenye soko zaidi
Wadau Mimi nashauri Serikali iangalie kuunda tume ya pamoja na shule za binafsi kuhusu suala la ada. Kuna shule zinapandisha ada kila kukicha yaani kila mwaka aisee na kwa kiwango kikubwa bila...
School Results Management Spreadsheet Application!
Mkombozi wa Mashule mbalimbali Tanzania! Ni Spreadsheet (Excel) Application ambayo nimeiandaa kwa ajili ya kuchakata Matokeo ya wanafunzi (Kwa...
Ni muda muafaka kwa Waajiri na Makampuni binafsi kutoa mrejesho kwa Wanafunzi wa Vyuo gani Wanafanya Vizuri katika Maeneo yao ya kazi. Pia tunaomba watoe mrejesho ni maeneo gani ambayo yana...
Habari wakuu hivi kukaa nje ya chuo yaani kupanga na kukaa hostels ni kipi nafuu?
Naulizia hili kwa wale wa vyuo vya udsm na ardhi
Jee ni maeneo gani kwa dar hapa wanafunzi wa vyuo vya ardhi na...
Habari za majukumu wana JF education?
Naamini katika mafanikio ya kila mtu kuna mtu nyuma yake hata kama mafanikio yako yalikuja bila kusaidiwa na mtu naamini umewahi kusaidia mtu.
Humu ndani...
Wako wapi vijana waliojichukulia ujiko wa zawadi na headlines magazetini na vyombo vya habari wako wapi kaka zetu na dada zetu waliotesa kwa ufaulu wa kutisha?
Wako wapi jamani? Tusaidiane.
Je...
Miye ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 kwa masomo ya HGL, ningependa kupata mwongozo wa nini nifanye.
Je, HGL yangu ya div 2 inatosha?
Au kuna somo inabidi niyareseat?
Na kama kwa HGL...
Habari jamani,
Mimi nina shida ya msaada wa nini nifanye katika hili. Mimi cheti changu cha kuhitimu elimu yangu ya sekondari(form for certificate) kiliungua moto mara baada ya nyumba yetu kupata...