Tofauti kati ya Bsc(hons) na Bsc

Tofauti kati ya Bsc(hons) na Bsc

Kahahe

Member
Joined
Dec 10, 2020
Posts
25
Reaction score
10
Habari wana JF.

Naomba kufahamishwa utofauti kati ya kupata mfano: Upper second division with honor/honour na Upper Second division.

Ahsante.
 
Honor upper second ni upper second aliyopata mtu bila suplimentary hata moja mda wote wa masomo.

Hiyo nyingine ni ile ya wengi.
 
Ukimaliza chuo bila supplementary na ufaulu wako ulikuwa unapanda kila mwaka hapo utapata hons. Kwa wale wa udsm waliomaliza 2015 walipewa hons ya heshima hata Kama waliomaliza na supplementary.​
 
Habari wana JF.
Naomba kufahamishwa utofauti kati ya kupata mfano: Upper second division with honor/honour na Upper Second division.
Ahsante.
Inategemea na chuo, sio kila chuo wanatoa hizi degree! ila kwa jalalani hizi degree hutolewa sana!

Yani unakuta mtu ana kajentomani degree lakini kamewekewa honors!
 
Ukimaliza chuo bila supplementary na ufaulu wako ulikuwa unapanda kila mwaka hapo utapata hons. Kwa wale wa udsm waliomaliza 2015 walipewa hons ya heshima hata Kama waliomaliza na supplementary.​
Nadhani ni chuo na chuo. Mimi GPA yangu ilikuwa hivi.
1. Upper second (btn 3.5 - 4.3)
2. First class (btn 4.4 - 5.0)
3. Lower second (3.4)

Lakini GPA ina with hons sababu sikupata sup hata moja.
 
Ili upate honor GPA, inategemea conditions mbili, Kwanza kama GPA yako ni kuanzia upper second kupanda uli imantain, au bila supplementary. Pili ni GPA kupanda kila mwaka(haijalishi ulipata sup au hukupata).
N.B unaweza kuwa na first class ila usipate honor.
 
Mimi mbona sijapewa hiyo hons wakati hata C sikuwahi kupata chuo??
 
Back
Top Bottom