Laboratory Assitant ina ajira?

Jicholamwewe

JF-Expert Member
Jan 2, 2021
307
348
Jamani wadau naombeni msaada wenu mm nilifanya mthni wa kujiunga na veta mwaka Jana nikachaguliwa kozi hii LABORATORY ASSISTANT.

Hivyo wadau, naombeni msaada: je, kozi hii vp ajira yake yani soko lake katka kipind hiki je haina ugumu wa soko la ajira?
 
Sasa wadau tuache mambo hayo.lengo letu tupo kusaidiana kimawazo sababu tumetofautiana ki fikira.mbona siwaelewi wengine wanasema nzr wengine ajira ngumu.wadau tuache mizaa BC tusaidiane
 
Ndo hvyo mnazingua wadau MTU anawaomba msaada kama.hmuoni vile.hivi kwel tutfika au ningezungumzia mambo ya mapenzi ndo mngenipa msaada wa utambuzi?
 
Ningeuliza kuhusu mapenzi mngenijibu vzr bila mizaa mmmmh sisi watanzania bado sana OK samahnini
 
Certificate or diploma

Assistant ni certificate.

Tukirudi kwenye swali, kada zote za Afya zina ajira serikalini na vituo binafsi, ukitoa community health ambayo bado haijatambuliwa.

Laboratory Assistants ndio wamejazana huko vituo vya serikali hadi hospitali za wilaya, kuna halmashauri ukiwa Lab technician basi utapata shavu la kuwa DLT ama angalau Mkuu wa Idara katika hospitali ya halmashauri.

Bado inalipa kwakua Lab scientists hawapo tayari kufanya kazi halmashauri, kwahiyo nafasi zinabaki kuwa za hawa Technicians na Assistants.
 
Mkuu Munamuge

Una uhakika mkuu hao lab scientists hawataki kufanya kazi halmashaurini ?

hivi mara ya mwisho tamisemi kwenye tangazo Lao la ajira za afya ,umeona nafasi za lab scientist ni lini mkuu?

hivi kwa njaa iliopo mtaani saivi unahisi kuna ambao wanakataa hawataki kufanya kazi huko halmashaurini ?

inawezekana ndio maana ajira za lab scientists zimekua ngumu kweli kutoka Kwa Imani ama mawazo kwamba wapo wachache au hawataki kufanya kazi sijui huko kwenye halmashaurini ..
 
Likin mkuu koz hii kwa veta nasikia INA bezi kwenye viwanda sasa hapo vipi?
 
Lakini mkuu kwa kozi hii veta sasa inakuwaje ajira maana niskiaa ina bezi sana viwandani vipi hapo?

Assistant ni certificate.

Tukirudi kwenye swali, kada zote za Afya zina ajira serikalini na vituo binafsi, ukitoa community health ambayo bado haijatambuliwa.

Laboratory Assistants ndio wamejazana huko vituo vya serikali hadi hospitali za wilaya, kuna halmashauri ukiwa Lab technician basi utapata shavu la kuwa DLT ama angalau Mkuu wa Idara katika hospitali ya halmashauri.

Bado inalipa kwakua Lab scientists hawapo tayari kufanya kazi halmashauri, kwahiyo nafasi zinabaki kuwa za hawa Technicians na Assistants.
 
Assistant ni certificate.

Tukirudi kwenye swali, kada zote za Afya zina ajira serikalini na vituo binafsi, ukitoa community health ambayo bado haijatambuliwa.

Laboratory Assistants ndio wamejazana huko vituo vya serikali hadi hospitali za wilaya, kuna halmashauri ukiwa Lab technician basi utapata shavu la kuwa DLT ama angalau Mkuu wa Idara katika hospitali ya halmashauri.

Bado inalipa kwakua Lab scientists hawapo tayari kufanya kazi halmashauri, kwahiyo nafasi zinabaki kuwa za hawa Technicians na Assistants.
Likin mkuu kuhusu koz hii veta sasa inakuwaje naskia et INA bezi sana viwandan je kwl? Sasa hapo ajira si mtihn
 
Sasa wadau tuache mambo hayo.lengo letu tupo kusaidiana kimawazo sababu tumetofautiana ki fikira.mbona siwaelewi wengine wanasema nzr wengine ajira ngumu.wadau tuache mizaa BC tusaidiane
Za kuambiwa changanya na zako,ishu ya ajira ni ngumu sana kwa sasa,kama unaona una uwezo wa kusoma na kujiajiri ni vizuri zaidi ila kutegemea uajiriwe serikalini au private ni kupoteza Muda na pesa

Sent from my 502SO using JamiiForums mobile app
 
Dogo labda niseme hivi.... Suala la ajira kwasasa ni ngumu kupata na ukiipata watakupa hela ya chai na maandazi.....

Kama unataka kusoma nenda kasome ila suala la nitaajiriwa embu litoe kwanza....

Elimika ukimaliza tafuta fursa.....

Watu wana miaka 8 hawajaona ajira wewe ni nani?
 
Back
Top Bottom