Utaratibu VETA mpya Chato

TEZIJIKE 2

Senior Member
Nov 18, 2019
160
1,000
Habari wakuu,

Nina kijana anahitaji kusoma masuala ya ufundi anapenda hasa masuala ya bomba yupo kanda ya ziwa na nikaona Chato ni karibu zaidi lakini mpaka sasa sijui utaratibu wa VETA hii uko vipi kupokea wanafunzi mwenye kujua tafadhari naomba msaada hasa watu mlio karibu na VETA hii ya Chato.
 

BALOGUM

Member
May 22, 2019
74
125
Utaratibu wa Veta Chato uko ivi kwa hapa Chato wanaanza masomo tarehe 18/1/2021 hii kwa wale wa long course kwa wale wa short course bado hawajatoa utaratibu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom