Msaada wa swali hili la Communication Skills

naima79

Senior Member
Feb 27, 2009
188
112
Naomba msaada, sijaelewa hili swali, msaada tafadhali,

In not more than a page, draw your experiences with writing discourse as a university student.
 
Kijana mbona swali lipo wazi hilo, ambapo hujaelewa ni wapi?

Nadhani namna pekee ya kulijibu swali ni kulielewa. Naomba tuliewe swali zima kwa pamoja. Mimi nimeliewa hivi:

1. Key term "Writing discourse"
Kwa kuelewa zaidi hapa, inabidi uelewa "discourse" ni nini. Kifupi "discourse" ni conversation au speech au language in use. Aina za discorse ni "Spoken / Speaking Discourse na Written / Writing Discourse.

Writing Discourse ni nini?
Hii ni aina ya mazungumzo au ni matumizi ya lugha katika muundo wa maandishi. Mazungumzo haya ya maandishi yanaweza kuwa rasmi au sio rasmi.

2. " Draw your experience" hapa ndipo patamu zaidi sababu panakupa uhuru wa kuchagua hoja yoyote ambayo unauzoefu nayo na kuizungumzia.

3. "In not more than one page" hapa napo hapana shida kwani naambatanisha guidelines za kuzingatia wakati uandikapo hoja fulani katika peji moja.

Uelewa wa swali zima:
Kifupi swali linamtaka mjibuji kuandika habari / hoja yoyote alio na ujuzi au mariifa au uzoefu nayo katika mtindo wa maandishi (japo swali halijawa wazi kuwa mtindo huo wa maandishi uwe rasmi au sio rasmi) katika ukurasa mmoja wa karatasi. Kwa kuwa ni masuala ya kitaaluma inasahuriwa kuandika mtindo wa maandishi rasmi.

Hakuna haja ya mjibuji kuangaika kutafuta "POINTS" maalumu kwa ajili ya kujibu "writing discourse" bali "POINTS" zitatoka na hoja au habari anayoiandika kwasababu haujibu "writing discourse" isipojuwa unatumia uelewa uliupata baada ya kusoma na kujifunza "writing discourse" kukuongoza katika utunzi wako. Mwalimu hapa amekusudia kuona "knowledge application".
Screenshot_20170225-120403.png
 
Shukrani sana Mkuu, Ubarikiwe mno

View attachment 474380
 
Wakuu nami nisaidie hapa.

Discuss how the field of experiences can affect the communication
 
Field of experience ni life experience, attitude, social beliefs etc so hapo unaweka ni namna gani experience it affect communication
Mfano Afisa elimu bora ni yule aliyewahi kufundisha shule na si yule ambaye haijawahi kuwa Mwalimu, kwa hiyo experience itaathiri message Kati ya hao watu.
 
Safi.

Shukurani mkuu 👏 👏👏
 
Kijana mbona swali lipo wazi hilo, ambapo hujaelewa ni wapi?

Nadhani namna pekee ya kulijibu swali ni kulielewa. Naomba tuliewe swali zima kwa pamoja. Mimi nimeliewa hivi:

1. Key term "Writing discourse"
Kwa kuelewa zaidi hapa, inabidi uelewa "discourse" ni nini. Kifupi "discourse" ni conversation au speech au language in use. Aina za discorse ni "Spoken / Speaking Discourse na Written / Writing Discourse.

Writing Discourse ni nini?
Hii ni aina ya mazungumzo au ni matumizi ya lugha katika muundo wa maandishi. Mazungumzo haya ya maandishi yanaweza kuwa rasmi au sio rasmi.

2. " Draw your experience" hapa ndipo patamu zaidi sababu panakupa uhuru wa kuchagua hoja yoyote ambayo unauzoefu nayo na kuizungumzia.

3. "In not more than one page" hapa napo hapana shida kwani naambatanisha guidelines za kuzingatia wakati uandikapo hoja fulani katika peji moja.

Uelewa wa swali zima:
Kifupi swali linamtaka mjibuji kuandika habari / hoja yoyote alio na ujuzi au mariifa au uzoefu nayo katika mtindo wa maandishi (japo swali halijawa wazi kuwa mtindo huo wa maandishi uwe rasmi au sio rasmi) katika ukurasa mmoja wa karatasi. Kwa kuwa ni masuala ya kitaaluma inasahuriwa kuandika mtindo wa maandishi rasmi.

Hakuna haja ya mjibuji kuangaika kutafuta "POINTS" maalumu kwa ajili ya kujibu "writing discourse" bali "POINTS" zitatoka na hoja au habari anayoiandika kwasababu haujibu "writing discourse" isipojuwa unatumia uelewa uliupata baada ya kusoma na kujifunza "writing discourse" kukuongoza katika utunzi wako. Mwalimu hapa amekusudia kuona "knowledge application".
View attachment 474380
Ww kweli msomi aliyepita chuo kikuu
 
Huyo bingwa anajielewa sana na elimu yake
Ni wachache mno humu ndani
 
Back
Top Bottom