Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

poleni na maombolezo ya siku 21 na heri ya sikukuu ya pasaka. tupige story kidogo. tuliosoma primary school na sekondari miaka ya 80 mpaka 90 tumeshuhudia mengi sana ya kusisimua. moja ya visa...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Write your story about time when you had difficulty dealing with someone and how did you handle situation?
0 Reactions
5 Replies
647 Views
Habari wanajamvi! Leo nimekumbuka maisha ya shule ya Lomwe pamoja na shule jirani kama Shighatini,Kiriki na Minja. Naombeni tujikumbusheni kidogo kipindi hicho.
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Wana Jukwaa; Sikumbuki heading yake wala mtu aliyeyaandika maneno haya. Nimejaribu kusoma post ile ya "LIFE AFTER DEATH", ikanichanganya, nikaona nirudi kwa huyu bwana, aliyewahi kuandika maneno...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Mambo vipi wanajamvi? Tasinia ya IT (Information Technology) au TEHAMA kama alivyonikaririsha mwalimu wangu Mzee Malima wakati ananicholea CPU kwenye ubao. Niliipenda hivyo hivyo japo...
8 Reactions
81 Replies
6K Views
chuo kikuu flani cha dini nyanda za juu kusini katika kukamirisha final year project, Department ya BSc imeamua kutaa kabisa project title zinazoonekana kuwa simple na easy ; ( management system...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna dogo alimaliza kidato Cha nne Alipata ufaulu ufuatao HISTORY:-D GEOGRAPHY:-C KISWAHILI:-C ENGLISH;-C CIVICS:-C BIOLOGY:-F MATH:-F LITERATURE:-D JE ANAWEZA KUSOMA HGE KAMA SCHOOL CANDIDATE
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu kama kawa tunaendelea kuwapata madoctors hapa Bongo. Open University nao kwa kufuata wenzao wa Mlimani wameamua kumtuza Mzee Ruksa lidigrii la Udaktari. Kwa maelezo zaidi bofywa katika...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Idara zengine ni neema kila kukicha. Elimu kuna shida gani? Unafanya kazi karibu miaka 10 hakuna kupanda cheo? Tatizo lipo wapi na nchi yetu ni Tajiri?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za muda huu ndugu zangu naombeni msaada wa mawazo. Ngoja nianze kwa maelezo mafupi kwanza nilimaliza A level - PCB miaka miwili iliyo pita na matokeo yangu hayakuwa mazuri kijumla nilikuwa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari,Mimi ni kijana ninayesomea diploma ya ugavi na ununuzi kutoka chuo cha uhasibu Tanzania(TIA). Ifikapo tarehe 1/8/2021 tunatakiwa kuanza kufanya field(masomo kwa vitendo). Hivyo naomba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania, tokana na ukuwaji wa teknolojia ulivyo hivi sasa , Mimi pamoja na walimu kutoka katika shule mbalimbali bora Tanzania (Top 50...
1 Reactions
0 Replies
781 Views
Hivi ni kwanini Serikali na jamii isiruhusu watu wa jamii ya Rasi (Rastafari) kuruhusiwa kusoma na nywele zao hasa katika ngazi ya elimu ya chuo? Waruhusiwe kusoma na kupractise medicine (...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Pana chuo tanzania kinatumia mfumo wa Semester? Yaani kila semester pana wanafunzi wanaojiunga, na wanafunzi wanaohitimu. Masharti ya kuhitimu ni kukamilisha masomo fulani. GPA ni ya masomo, siyo...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu heshima yenu. Niende moja kwa moja kwenye mada.Naomba kujua chuo kinachotoa certificate ya pharmacy ONLINE hapa tanzania.Mimi ni mwajiriwa wa serikali na nahitaji kusoma hii course...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Ndoto yangu ya kusoma degree yangu ya kwanza Mlimani ilianza nikiwa shule ya msingi. Nilikua nikisikia tu story kutoka kwa dingi akisimulia mandhari na elimu ya pale Mlimani pindi wanasoma. Basi...
6 Reactions
33 Replies
5K Views
Hi! Habari kama kichwa ninavojieleza hapo juu. 1. Mhitimu wa diploma ya Nursing anaweza ku specialize nn kwa upande wa Bachelor masterz, etc Kwa yeyote mwenye ufaham unaweza kuchangia.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wadau, mko poa? Naomba kujuzwa machache kuhusu chuo kikuu hulia cha Tanzania , nahitaji kujiunga na Undergraduate programme je mihula yake ipoje? Inaanza mwezi 11 Kama vyuo vingine vya Tz...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa, Naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye uzoefu wa kuwa tutor (kwa somo lolote) mtandaoni; hususan kufundisha Kiswahili kwa watu wa nje. Ni mambo gani ya msingi ya kuzingatia? Asante.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi kuna jambo linaniumiza kichwa sana inakuwaje kila siku vyuo vyetu watu wanagraduate na wimbi la ukosefu wa ajira likiongezeka huku tukishudia kila siku tunasema hatuna wataalamu na...
1 Reactions
5 Replies
747 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…