Nimesoma Stashahada ya Ugavi, natafuta mahali pa kufanyia Field Practical

mandator aktritky

New Member
Jan 10, 2020
3
1
Habari,Mimi ni kijana ninayesomea diploma ya ugavi na ununuzi kutoka chuo cha uhasibu Tanzania(TIA). Ifikapo tarehe 1/8/2021 tunatakiwa kuanza kufanya field(masomo kwa vitendo).

Hivyo naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia nipate sehemu ya kufanyia field.
 
GPSA, TRA ndo sehem sahihi za kufanya field
 
Back
Top Bottom