Hivi ni kwanini walimu hawapandi vyeo?

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
3,778
2,000
Idara zengine ni neema kila kukicha. Elimu kuna shida gani? Unafanya kazi karibu miaka 10 hakuna kupanda cheo? Tatizo lipo wapi na nchi yetu ni Tajiri?
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
58,966
2,000
Wanadharauliwa na kuonewa Sana sababu hawajitambui, hawazijui haki zao, na pa kuzidai hawajui.
Hii ndio kada pekee ambayo watumishi wake hucharazwa bakora hadharani
 

LITA2019

JF-Expert Member
Dec 18, 2019
319
1,000
Wapo wengi sana na ndio wanaongoza kwa unafiki, usipange jambo na mwalimu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom