Naombwa mnisaidie ili swali

Naombwa mnisaidie ili swali

Dauditairo12

Member
Joined
Apr 1, 2021
Posts
7
Reaction score
1
Write your story about time when you had difficulty dealing with someone and how did you handle situation?
 
Write your story about time when you had difficulty dealing with someone and how did you handle situation?
sasa tunakusaidiaje hapa mbona husomeki kiongozi. Yani mimi nikijieleza ndiyo nimekusaidia au?
 
Write your story about time when you had difficulty dealing with someone and how did you handle situation?

Hiyo ulitakiwa uandike essay au kitu gani??

Kama ni essay Waweza kuandika kihusu rafiki yako mbuia unga alivyokuwa akikusumbua uumpe pesa akanunue unga na jinsi ulivyojitahidi kumshawishi ili aache kutumia unga, hatimaye ukampeleka sober house na huko alipatiwa huduma na hata sasa rafiki yako kawa mtu safi na kaachana na matumizi ya dawa za kulevya.

Huo ni mfano wa hadithi unayotakiwa uandike lakini iwe katika lugha ya Kiingereza .
 
Back
Top Bottom