Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 753
- 1,881
chuo kikuu flani cha dini nyanda za juu kusini katika kukamirisha final year project,
Department ya BSc imeamua kutaa kabisa
project title zinazoonekana kuwa simple na easy ; ( management system ,forums , Android app, graphics ,)
Ili kuongeza ubunifu na uelewa mkubwa kwa graduate wa fani hii
Hivo graduate watakiwa kufanya project za maana
Baadhi kama ifuatavyo nyingi zikiwa AI , internet of things and sensors, network, cyber security, hardwere
Je una maoni gani kwa title hizo wewe kama mdau was elimu Tz