Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wenzangu nyie hali ikoje mnafanikiwa kufanya application NACTE?
1 Reactions
2 Replies
991 Views
Shule za msingi zinafungwa Leo, Niko hapa napitia mitihani na ripoti za wanangu! Kuna swali hili; Mwamuzi wa mchezo wa mpira wa miguu anaitwa nani? Mwanangu kajibu MWAMUZI kakosa, eti mwalimu...
13 Reactions
144 Replies
13K Views
Habari Natafuta shule ya sekondari, ya day, nzuri inayofanya vizuri, iliyoko wilaya ya Ubungo au Kinondoni.. Please naomba kama unajua yoyote orodhesha hapa nione nafanyaje Asantee
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakubwa shikamoni wadogo wenzangu habari zenu mimi ni mwanafunzi wa uguuzi na ukunga katika ngazi ya diploma. Niliamua kusitisha masomo kutokana na kukosa ada ambayo nilijichanga kama kijana...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba mnijuze wapendwa nataka kujua mfumo wa kuunganisha vyeti vya kidato cha NNE bado upo na kama upo naomba mnitajie sehemu usika nitakayosaidiwa. Asanteni🙏
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama mada inavyojieleza hapo juu, kwa tunaosubiria matokeo ya kidato Cha sita tunaomba mliopita/mliopo & mnaofahamu juu ya kozi mbalimbali vyuoni mtupatie ushauri kwamba kwa watu wenye division...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu Kuna jambo la kielimu Hapa. Uchaguzi wa TAMISEMI kuhusu selection za Wanafunzi wanaoingia Kidato cha 5 una tuhuma nzito wadau wa elimu tupaze sauti: 1. Uchaguzi haujazingatia vipaumbele vya...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Je, inawezekana kubadiri shule ulopangiwa kidato cha tano?
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana-JF nimehitimu kidato cha 4 mwaka jana na nimepangiwa course ya secretarial studies ningependa kufahamishwa kwa wanaoielewa zaidi fursa zake katika kuajiriwa na kujiajiri n.k ntashukuru...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Idara ya elimu ya sekondari wanapashwa kuingalia shule ya sekondari miembe saba iliyoko kibaha mji, shule hii inazaidi ya walimu sabini lakini haina mafanikio ya kitaaluma hata kidogo, Walimu wa...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
Naomba kupata maelezo ya ufahamu kuhusu chuo cha maji hapa Dar kwa wale wenye ufahamu. Aina ya course, malazi, uhakika, mkopo nk. Nina mtoto wa kaka yangu kamaliza kidato cha nne, na kupangwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Samahani wakuu naomba kufahamu hilo kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Nimejaribu kujiuliza elimu yetu vs msaada katika maisha ya kawaida our educational is non creativity, hata ukiuliza nini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Mwaka huu nimepata interest ya Kuongeza shule, Nimekuwa na Maono ya kusoma Public health kwa muda mrefu kulingana na kazi nnazozifanya, Nimejaribu kuingia website ya MUHAS bado...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna barua imesambaa mitandaoni ikionyesha mkuu wa chuo cha sauti akishinikiza Wanaoshindwa kulipa ADA kupigwa penalty Sio Jambo JEMA na la busara kulikalia kimya WAPO WATOTO WENYE shida je...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawasalimuni kwa jina la JMT Ni muda kitambo umepita (yapata miezi minne) toka matokeo ya kidato cha NNE yatoke, lakini hadi leo selections/placements hazijatoka. Ni vyema kasi iliyopo katika...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka jana kapata dv two ya 18. Amechaguliwa kwenda advance akasome HGl. Sitaki aende ukizingatia ajira huko mbele ni ngumu, kuna uwezekano wowote wa kuweza...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Nilitami wangu awe wa kwanza class Ila kaniangusha
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama title inavyosema...naanza mimi GALANOS
2 Reactions
63 Replies
5K Views
Back
Top Bottom